mfumo wa VFD SYSTEM ni mfumo wa utoaji receipt za tra ambao ni mpya na ushaanza kufanya kazi Tanzania ambao mfumo huu mfanya biashara ataunganishiwa kwenye simu yake au computer kwa kufanya installation ya app ya vfd system.
Na mfanya biashara ataweza kuprint receipt za tra kwa kuunganisha Bluetooth ya simu yake na mashine ndogo ambayo inaitwa Thermo printer na kwenye computer ataunganishiwa kupitia USB cable.
Mfumo huu hauna changamoto kabisa kwa sababu
utaweza kuprint receipt off line isipokuwa asubuhi unapokuwa una login kwenye sever ya tra ndo utatumia data ambayo haifiki hata MB1.
Pia mfumo huu hauna ishu ya kutoa ZED report unapo mtolea mteja receipt moja kwa moja inaenda kwenye server ya tra nawe pia unabaki na kumbukumbu kwenye system yako hivyo basi matumizi ya roller yanakuwa kidogo sana.
Pia inatumia lugha mbili
Lugha ya kiswahili na lugha ya kiingereza ili kumsaidia mfanyabiasha ambae hajui kiingereza.
Hii system ina mpangilio ambao ni mzuri kabisa ambao mfanyabiasha hatopata tabu kuuelewa kwa mfano
1.Issue receipt (kutoa risit)
2.kuandika jina la mteja
3.kuandika Bei ya bidhaa
4.kuandika (tin number ya mteja)
5.kuandika number ya kitambulisho au simu ya mteja kwa hiyo system yake iko clear kabisa.
Pia system hii inatunza receipt zote kupitia sehemu ya message hata Kama mtu ulimtolea alipoteza baadae akahitaji ataikuta
Pia ni rahisi kumtumia kupitia wasap au email yake
Pia ni nzuri sana kwa wafanya biashara au makampuni yanayofanya supply au mobile business.
Hii imekuja ili kuweza kukuza teknologia na kuweza kutoa receipt za tra kwa urahisi, salama na gharama nafuu kabisa kwa wafanya biashara wadogo,wakati na makampuni.
Ili kuweza kupata huduma hii.
Unatakiwa uwe na tin number inayofanya kazi na kitambulisho Kati ya hivi
1.kitambulisho Cha taifa
2.kitambulisho Cha mpiga kura na
3.kitambulisho Cha leseni ya udereva.
Huduma hii gharama yake ni 350,000
Na utalipia 50,000 kwa mwaka kwa ajili ya ku update system na pia hiyo hiyo 50,000 endapo italeta shida kwenye system.
Na malipo ni baada ya kuunganishiwa system.
Toa receipt za tra kwa ukuaji wa nchi yetu:
Kwa nawasiliano:
Piga 0689993661
Piga 0678195114
Wasap 0766195115
Email sirajimsilanga55@gmail.com
NB: huduma hii tutakufikia popote ulipo Tanzania.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app