Hivi karibuni Diamond Platnumz
alilazimika kuahirisha ziara yake ya
barani Ulaya baada ya waandaaji
kushindwa kukamilisha kumlipa
hela yake ya advance katika muda
muafaka.
Inadaiwa kuwa katika...
Karibu kila mtu anayeufuatilia muziki wa Bongo Flava anajua Diamond ndio msanii anayetafutwa zaidi kwaajili ya show kuliko msanii
yeyote Tanzania but nani alifahamu kuwa amemjengea mama yake...
Two very different ex-NBA players ran into financial issues in two very different ways recently.
Robert Swift who earned $11 million in three seasons had his house foreclosed on after...
Taarifa zilizonifikia punde zinatanabaisha kuwa mmiliki wa magazeti ya udaku nchini Tz ndugu Erick Shigongo wawekwa kizuizini,
Haijafahamika nini tatizo hasa, ila nitawajuza punde tu nipatapo...
Judgingby this warm embrace, you would think these two old fighters were the best offriends and always had been. But it was a different story in June 1997when Mike Tyson bit off part of Evander...
Nimegundua hapa kuwa wanaume wanaongoza kumuonea wivu diomond kuliko wanawake! Kizuri ni kwamba huyu bwana mdogo mashabiki wake wengi ni watoto wa kike na wanamume wasio na wivu ama chuki za...
Bad boy Chris Brown continues aggressive behaviour as he grabs his crotch... following valet and bodyguard rowHes caused controversy a couple of times in the past week with his less than charming...
MODO wa Bongo, Jackline Patrick juzi Jumatano alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na kusomewa shitaka la kumjeruhi kwa chupa kichwani msichana...
CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu amelazimika kujisamilisha kwa daktari wa meno baada ya ulaji wa chocolate kumponza na hivyo kuozesha baadhi ya meno yake.
Kupitia mtandao wa Instagram, Miss...
yaani niko naangalia Nirvana EATV aisee hiki kifaa si mchezo yuko fit kila idara hadi sauti inaita si mchezo, kwa mlio karibu na tv mnaweza mcheck, kiukweli amesimama si mchezo.
Fuatilia orodha hii hapa chini jinsi wanawake wanavyoendelea kuwa mamilionea wa karne ya 21
Isabel Dos Santos (Angola)
Jina: Isabel Dos Santos
Raia: Angola
Net Worth: Unknown
Chanzo: Uwekezaji...
Please kama unajua msanii wa bongo flava wimbo wake umetumika kwenye movie ya kimarekani ya "THe house at the end of the street" ni msanii gani huyu? movie hii imetolewa mwaka jana 2012 nikasikia...
Ukipata wasaha wa kusikiliza nyimbo zake kama, Bongo Dsm, Ndiyo& Siyo mzee, Jina langu na hata zile ndani ya HBC kama chemsha bongo, mamsap n.k utakubaliana nami kwamba huyu jamaa hakuna mfano...
Msanii wa R&B Ben Pol amewasifia wasanii wenzake wa Bongoflava kuwa wana uwezo mkubwa kuliko hata wasanii wa nchi zilizoendelea kama Marekani kwa uwezo wao wa kufanya kazi nyingi zikiwemo utunzi...
Gazeti maarufu la nchini Kenya,
Daily Nation limetoa orodha ya
wasanii watano wa Bongo Flava
matajiri zaidi nchini. Hivi ndivyo
lilivyofanya uchambuzi huo.
NASEEB ABDUL (DIAMOND)
He stayed...