Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Fat Joe 9th album,Jelous Ones Still Envy 2 has sold only 8,343 copies in the 1st week. kwenye thisis50.com imeandikwa; the most anticipated album of this century,FAT JOE(J.O.S.E 2) including...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani nilitaka kuuliza hivi Martin Kolikoli yule kijana aliyekuwa kwenye NBA draft yuko wapi,alienda kucheza NCCA au bado yupo Dar es salaam na anachezea kilabu gani?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani kijana ana kipaji si mchezo..leo hii najaribu kumwangalia na nyimbo atakazo toka nazo kwenye final kwa kweli mtakaokuwepo hakuna atakaejutia kiingilio...njo ujamjaze mtoto beatrice mahela...
0 Reactions
80 Replies
13K Views
Jaribuni hapa http://unlitv.blogspot.com/2009/10/watch-latin-fury-12-live-stream.html
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Siku nyingine Kikwete usiwe mbishi KWA mara nyingine tena taifa lilipatwa na mshtuko wakati Rais Jakaya Kikwete alipolazimika kuondolewa katikati ya sherehe katika Uwanja wa CCM Kirumba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JF niliangalia miss kenya na kwa aliyebahatika kuiona lol wenzetu kidogo naona wame advance na mabinti wanaconfidance sijawahi kuona watoto wanajieleza kama hawana akili nzuri mengineyo yalikuwa...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Masupa Staa wajao wa Bongo Thursday, October 08, 2009 9:29 PM Mshindi wa shindano la kumtafuta nyota mpya wa Bongo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ezra linked to a debt By Vision Reporter KENYA police yesterday questioned Michael Ezra for hours over allegedly issuing a cheque that was dishonoured . Sources in Nairobi said Ezra was...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Umewadia wakati mwingine tena wa mpambano wa kumsaka mrembo atakayeipeperusha bendera ya nchi katika mashindano ya 60 ya dunia (Miss World) yanayotarajiwa kufanyika huko Afrika Kusini 12 Desemba...
0 Reactions
135 Replies
33K Views
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa TFF(FAT wakati huo) Alhaj Ismail Aden Rage ametapeli kiasi kikubwa cha fedha katika onyesho maalumu la kikundi cha wachekeshaji Ze comed. Bwana rage ambaye pia ni...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Bingwa wa dunia wa ndondi mkanda unaomilikiwa na IBC, Francis Cheka wa Morogoro (Kushoto) akimtwisha konde mpinzani wake Japhet Kaseba kwenye pambano la raundi 12 kuwania mkanda huo kwenye uwanja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
style anayoitumia mpoki wa origino komedi, ile ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inapunguza radha ya kipindi na kutudhalilisha sisi wahaya au...
0 Reactions
64 Replies
16K Views
Hi wakubwa, ni wapi naweza pata CD za Innocent Galinoma? Nimejaribu kuzitafuta online bila mafanikio. Ningeurahi sana kupata CD za Mfwalingundi hasahasa ile ya awali Kilimanjaro. I look forward...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mara zote huwa anarudi Tanzania na kuitangaza Tanzania hivyo kuna Haja ya wizara ya Elimu kuweka watu kama hawa kuanza kutumikia Taifa letu na kutoa michango yao ya moja kwa moja Katika Tanzania...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Shadrack Sagati Daily News; Saturday,May 31, 2008 @00:05 Kundi la vichekesho la Ze Comedy limetangaza kuhamishia maonyesho yake katika runinga ya Taifa ya TBC1 kuanzia Julai. Wachekeshaji hao...
0 Reactions
318 Replies
43K Views
Siku ya kuzaliwa kwangu ni tarehe 27 September. Nilizaliwa miaka mingi ilyopita wakati nchi ikiwa ya kijani sana. Sasa hivi naona uchungu kuwa nchi yote ni ya kahawia. Hebu nipe salamu za happy...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Ikiwa leo ni tarehe 24 September unapokumbuka siku yako ya kuzaliwa, napenda kukutakia maisha mema na yenye mafanikio. Tumetoka mbali pamoja kama mdau wa JF na tumekuwa pamoja katika mijadala...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Kutoka Paris,Ufaransa Rais wa zamani wa Ufaransa Valery Giscard d'Estaing (83),ameandika kitabu cha riwaya chenye hisia za kuwepo uhusiano wa kimapenzi kati yake na marehemu Princess Diana...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Yesterday, 09:41 am The world's oldest man has celebrated his 113th birthday - revealing he takes one aspirin a day to stay healthy. Enlarge photo Walter Breuning celebrated his milestone...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…