Nyie mjini kuna mambo, Mashalove a.k.a Masha ze Don, mdada mwenye vigodoro vyake, inasemekana ana mimba ya Jimmy Mafufu msanii na mtunzi wa tamthilia za Azam TV. Ila bahati mbaya Jimmy kaikana...
Kwa upande wangu kuna hawa jamaa yani wanasauti nzuri sana tena huenda kuzidi baadhi ya msanii wanao sumbua kwasasa
MB Dog
Huyu jamaa alisumbua sana miaka ya 2005 na kidogo,,anasauti nzuri sana...
Malkia wa Urembo wa Argentina na Puerto Rico wafunga ndoa
Malkia wa Urembo wa Argentina Mariana Varela na Malkia wa urembo wa Puerto Rico Fabiola ValentinImage caption: Malkia wa Urembo wa...
Ripoti mbalimbali zinasema rapper maruufu wa kundi la 'Migos' amefariki kwa kupigwa risasi huko Houston,Marekani.
Bado hakuna taarifa ya kina kuhusu namna tukio lilivyotokea.
Na huo ndio ukweli, tukiwatoa wasanii wale 10 wenye mafanikio ni wachache sana waliobaki kama kina shilole mwenye shishi food na young dee mwenye kibaa chake wanaweza kujitegemea kiuchumi...
Wakuu,
Inakuwaje giant wa industry music Afrika ambao ni Nigeria, celebrities wao kwa upande wa Instagram wana idadi ndogo ya followers tofauti na hapa kwetu bongo?
Wakuu hii imekaaje, wenzetu...
I'm the next 2Pac and Biggie
Scaled dope for 2Pac, pockets on Biggie
Pop a molly have you shaking like that n***a Diddy
Your pockets fat but now they slim, call it Missy
TakeOff (lyrics 2pac and...
Watu sisi tuna angalau kidogo sio kwamba sisi ni matajiri lakini vidogo vidogo vya kusukuma maisha mbele na kusaidia wapendwa na watoto wazuri hatuwezi kosa.
Lakini mapenzi yanatusumbuwa kinoma...
Wakuu kwema?
Hivi huu mstari wa DIZASTA UNATOKA KWENYE NYIMBO GANI?
Dizasta vinna ni kina jo sabini,so wakazi kadhaa wakitongoji mkija njoo makini. naona vipepeo kwa bustani wanaruka ila sioni...
Wasalaam
Kuzaliwa katika zama hizi za maendeleo ya sayansi na teknolojia ,mara nyingi tunasahau jinsi mambo tofauti yalivyokuwa kabla yetu.
Watu wangeweza kujua tu mtu anaonekanaje kulingana...
Baada tu ya kuachia EP yake sasa nchi yote imesimama inamsikiliza Mbosso.
Kila kona ya taifa la Tanzania basi Mbosso ndiyo habari ya mjini.
Kwa wale waliyokuwa wanaulizia matokeo, kwenye soka...
Refer the heading above
Kama mnavyojua Bob Marley alikuwa na vipaji viwili hit maker(hakuna atakaye kuja kama yeye mpaka yesu arudi) and footballer na watoto wake 12 wameingia kwenye hivyo vipaji...
Habari wakuu,
Je, wajua pesa aliyoitumia bilionea elon musk kununua twitter $44B inaweza ikanunua asset zote za bilionea mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg ikiwemo mitandao yake ya Facebook...
FIRST OF ALL IS TUPAC DEAD OR ALIVE ?
My SPIRITUAL OPINION: Kwa sauti ya KEJUAN Muchita ( Havoc ) wa Mobb Deep. Yes Tupac is Dead without a doubt!!! Mwisho wa kunukuu...
Habari ya mchana huu wakuu, leo nimekuja na historia ya huyu mwamba na mtawala wa aina mbali mbali za miziki laini, yan ile inayogusa mioyo ya mamilioni ya wapenzi wa miziki hapa duniani.
Aina...
Mwimbaji huyo mkongwe amedaiwa kuwa na historia mbaya na ya siri ambayo umma haukuijua wakati wote akiwa mmoja wa wanamuziki maarufu na wenye ushawishi.
Waendesha mashitaka wameiambia Mahakama...
Habari JF
Huyu ni mtu na nusu, Yeah! Unaweza kusema hivyo. Elon Reeve Musk mapema wiki hii ameteka vichwa vya habari duniani baada ya kununua mtandao pendwa duniani( Twitter ) kwa dau la $44B...
Kwema wakuu, mishe zinaendeleaje,
Wakuu kwa wale wakongwe wa miaka ya 80s, bila shaka mtakuwa mnafahamu mchekeshaji huyu ambae alijizolea umaarufu mkubwa kutokana na fani yake ya uchekeshaji yani...