Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hi wadau! Mimi ni mmoja wa naomuunga mkono na hata kukubaliana sana na mambo mengi ya kimaendeleo pamoja na uongozi wake mbunge wa Ubungo mh. Mnyika ila sijafanikiwa kupata cv yake nakuweza...
0 Reactions
114 Replies
76K Views
MBINU ZITAKAZO MPAISHA KONDE BOY NA KUMUACHA DIAMOND KWENYE MATAA. Na, Robert Heriel Mwaka 2015 niliwahi kuandika makala inayozungumzia mbinu anayoitumia Diamond Platanum kumzima Ali Kiba, Mbinu...
5 Reactions
49 Replies
9K Views
Yule Nguli wa miziki yenye mahadhi ya Pwani yaani Taarab amefariki dunia,Jijini Dar. Hii ni kwa mujibu wa mtangazaji wa Leo tena wa Clouds FM Dina Marios. Nasma Hamisi 'Kidogo' amefariki dunia...
6 Reactions
81 Replies
71K Views
Mwenye wasifu wake atuletee. Kaja hapa mwanza kafungua klabu mpya. Je ana undugu na waziri Stephen Wasira
5 Reactions
149 Replies
55K Views
Huu wimbo wake wa 'future wife' ni mzuri sana kiukweli mzuri haswaa; mashairi na video vyote viko poa. Ambacho sielewi ni kuonyeshwa kwa picha za wabunge wale 19 ambao nyie, kule katika jukwaa...
0 Reactions
4 Replies
980 Views
Sijui vijana wetu wa Kitanzania wanafeli wapi. What Is 'HanaKuma' And Why Are KoT Losing Their Heads Over It? Tennis superstar Naomi Osaka during a past tournament. PHOTO | COURTESY HanaKuma...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Huyu mwamba kipindi anajitoa WCB yaliongeleka mengi sana kuwa Hana muda atapotea. WCB walikuwa wanajiona wao ndio baba wa muziki hapa Tz hivyo ukiwa kinyume nao safari yako kimuziki itaisha...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo nimeona tangazo clouds tv,huyu mwanadada atakua na reality show yake inayoitwa in my shoes,i can't wait aiseeh....
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Huyu jamaa kwa Sasa Ni MTANGAZAJI mwajiriwa wa kituo Cha utangazaji Sirius-Xm Kama mwendeshaji mkuu wa kipindi cha HOWARD STERN SHOW. Howard stern amejikita zaidi katika utangazaji wa habar...
15 Reactions
89 Replies
11K Views
Hivi mnaonaje kuhusu huyu mwamba Young Lunya kusainiwa Sony music Africa kunaweza kuwa na faida kwake au ndo amepoteza maana kwa kumbukumbu za haraka haraka ni kwamba wasanii wengi wa Tanzania...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
hizi habari nimepokea kutoka kwa mmoja wa wasanii wa kaole,kama ni kweli mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi amen
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Baada ya Kajala Kuachana na Majani, aliamua akaolewe, bila kupoteza wakati alikamilisha hilo na akaolewa kwa Ndoa ya kanisani kabisa. Bwana Faraji Agustino ndio Mume halali wa Kajala. Alipopata...
6 Reactions
67 Replies
6K Views
Kulingana na Ripoti kutoka @FortuneMag imeeleza kuwa billionea namba moja duniani Elon Musk anakabiliwa na kesi ya Dola Bilioni 258 kwa madai ya kuwa sehemu ya mpango wa piramidi ya cryptocurrency...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Salam wakuu, Ambao walikua wana-doubt kwamba Dizasta vina ni among best storytelling MCs kwa hapa bongo, angalieni hili jiwe lake latest halafu mlete hoja zenu hapa.
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya macho na maskio ya mamilioni ya watanzania kuhamishiwa downtown Bongo kwa tukio kubwa namba mbili mwaka huu ,huku namba moja likiwa lile la usomaji...
43 Reactions
244 Replies
41K Views
Siyo eti nampenda ama natafuta sifa za kijinga. Hapana, kwanza tu she's not my type too much skinny and 'flat-screen' halafu ni mzungu not my type at all. Mimi ugonjwa wangu ni kwa Mabantu. Ila...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
▶ Amejenga shule yenye thamani ya €270,000. ▶ Amejenga hospitali yenye thamani ya €530,000. ▶ Hupatia kila familia €70 kila mwezi. ▶ Hutoa nguo bure kwa watoto. ▶ Upatikanaji wa mtandao wa 4G...
20 Reactions
56 Replies
4K Views
Nyota wa bongo fleva za mwanzo kabisa nyota iliyozimika ghafla kwa ajali ya gari akiwa anapanda kwenye kilele cha mafanikio na umaarufu. Leo hii amesahaulika na hakumbukwi tena. -----------...
31 Reactions
131 Replies
52K Views
Imeandikwa na @maulidkitenge - @oscaroscarjr ni moja ya wachambuzi waandamizi ambao wamekuwa nasi kwenye Sports HQ kwa miaka 7. Sisi tunamshukuru kwa uchambuzi wa kina, vituko, maoni na yote...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…