Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Benny Andersson, 75, Agnetha Fältskog, 72, Anni-Frid Lyngstad, 76, and Björn Ulvaeus, 77, pulled out all the stops as they posed on the red carpet at the glitzy launch event, where they prepared...
34 Reactions
78 Replies
6K Views
Tarehe 24 ya mwezi huu mtu mzima Chris Brown anaachia Album yake ya BREEZY, Mkali huyo wa RnB, Moja kati ya ngoma ni ngoma ambayo amemshirikisha Star Boy Wizkid kutokea Nigeria. Hii ni Clip fupi...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Haya hapa majibu ya Happiness ambaye ni mke wa Joseph Mbilinyi 'Sugu' "Binti yangu, hii ilikuwa nipost siku ya birthday yako 26/09! Lakini naona mbali 😃 Hapo nilitoka kukuvalisha hivyo vihereni...
24 Reactions
145 Replies
12K Views
Thomas Partey anasema alibadili dini kutoka Ukristo kuwa muislamu kwa sababu ya mpenzi wake kutoka Morocco, Sara Bella. Alisema alikulia miongoni mwa Waislamu, na haoni tofauti kubwa kati ya...
6 Reactions
56 Replies
4K Views
Huyu dada Faiza muda mrefu amekua aki hangaika sana toka Sugu amemuacha. Ni kama hajakubali matokeo ameshawahi fanya vituko vingi ila kilichofumbua watu akaonekana ni mental case ni pale...
27 Reactions
358 Replies
30K Views
Harry alimwalika William na mkewe pamoja na watoto wake katika tafrija ya siku ya kuzaliwa kwa mtoto Lili lakini William na familia yake hawakutokea kabisa. Inaelekea bado kuna mvutani kwenye hiyo...
7 Reactions
112 Replies
7K Views
Umaarufu wa wasanii wetu hauna faida yeyote zaidi ya kutumika kwenye kuwabeba viongozi. Hii ni tofauti na nchi zingine mfano Nigeria. Ona huyu hana hata neno moja ameandika kuhusu wamasai...
3 Reactions
15 Replies
874 Views
Baada ya kesi iliovuta hisia za watu wengi kati ya Johnny Depp na ex wake Amber Heard kutolewa hukumu ambayo ilimpa ushindi Johnny, mahakama iliamuru kwamba madai yote ya Depp kuwa mkewe alikuwa...
15 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari wazee wenzangu hapa JF... Hilo Bango Hapo Juu sio maneno yangu bali ni maneno ya mkali anaetamba na nyimbo mpya (ILOVE YOU) Bob Junior Akizungumza usiku wa kuamkia leo katika mahojiano na...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Hali hii imempata akiwa kalewa chakari na kuzima kabisa. Amejikuta kakung'utishwa kila kitu mpaka kushindwa kulipa bili baa ya bia na vyakula alivyokula. Ilimbidi aende hotelini kuuza vitu vyake...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari za muda huu, nilitaka ku share kidogo ka stori ka mwanaharakati huyu kupitia muziki wa rap. Tupac Amaru Shakur alizaliwa mnamo mwezi kama huu tarehe 16 mwaka 1971, ikiwa leo hii...
5 Reactions
1 Replies
3K Views
ILIKUWA siku ya Alhamisi miaka 24 iliyopita, yaani Mei 31,1990 saa 11 jioni wakati Tanzania ilipopata pigo kubwa la kuondokewa na mmoja wa wanamuziki wake mashuhuri, Hemed Maneti Ulaya 'Chiriku'...
11 Reactions
28 Replies
17K Views
Shaggy has been honoured with Doctorate Degree
6 Reactions
8 Replies
890 Views
Mwanaharakati wa masuala ya Wanawake Joyce Kiria amefunguka kuwa baada ya ndoa yake ya kwanza kuvunjika alisema hatoingia tena kwenye mahusiano ambayo yeye atakuwa na jukumu la kumtunza mume bali...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
FACT OF LIFE. Hawa Jamaa wamejizima data vichwani lakini ndio maisha yanaenda hivyo, watukane, wakejeli, wakashfu lakini mara leo wameingia mkataba huu mara kesho ule. Ndivyo dunia ya kibepari...
16 Reactions
77 Replies
8K Views
Huddah Monroe mrembo matata sana mwenye pesa kuliko star yoyote wa Tanzania amejinasibu kuwa hajawai kuachwa na mwanaume, na huwa yeye ndio anawaacha wanaume akishawachoka. Pia alipoulizwa nini...
6 Reactions
63 Replies
7K Views
Familia ya msanii wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ imejitokeza hadharani na kuelezea juu ya hali ya kiafya anayopitia staa huyo na kuomba msaada wa matibabu yake. Jay ambaye pia alikuwa...
40 Reactions
182 Replies
25K Views
Hivi majuzi mwanamuziki Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize alizindua albamu yake ya pili 'High School'. Staa huyo wa Bongo alitumia ukurasa wake wa Instagram kufafanulia mashabiki wake...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu Diamond Platinumz ex wife aliekuwa akisherekea 41st birthday alipigwa picha ambayo anaonekana akimkisi Mwanamke mwenzake kimahaba. Yaaani What captivated many is the lip kiss she gave a...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
Kwanza nianze kwa kusema RIP mfalme wa Crank Music Tanzania. Leo ni siku ya huzuni kweli kweli wapenda bongofleva hasa ile ya zamani. Ni wazi ladha ya bongofleva ya enzi za akina CPwaa ilikuwa na...
6 Reactions
58 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…