Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ni muda sasa Godzilla tangu aachane na Mpenzi wake Doreen Andrew ""Deeandy amekuwa mtu mwenye frastruation na hayuko kama alivokuwa zamani. Zilla amekuwa wakueleza matatizo ya familia yao kwenye...
11 Reactions
75 Replies
13K Views
“Unakuta una mtoto mchanga unamfungulia akaunti mtandaoni, eti mtoto anaandika ‘Mama I love you’ kisha wewe mama unajibu ‘I love you too’, yote hayo unaandika na unajijibu mwenyewe, hilo ni tatizo...
51 Reactions
60 Replies
5K Views
Leo nimemuona O Ten maeneo ya Juwata hapa Morogoro Mjini. Sasa bahati mbaya sikuwa nimemjua ila vijana wa Bajaji wanaenda Kilakala wakamuita ndiyo nikashtuka kumbe huyu ni O Ten. Jamaa amechoka...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu Taarifa Kutoka Naija Ni kwamba Mume wa aliyekuwa Muimbaji wa nyimbo za injili Marehemu Osinachi aliyeimba wimbo wa Ekueme, amehukumiwa kunyongwa kwa Kamba hadi kufa. Amekuwa Kifungu Hiko...
8 Reactions
33 Replies
5K Views
Huyu binti sijui kama anaelewa au aelewi kwa sheria za United Kingdom kama mmoja wa wazazi wako ni raia wa hiyo nchi wewe ni raia moja kwa moja ata kama umezaliwa nje ya nchi (labda sasa ajichuze...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Habar wanaJF, Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu. Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake...
22 Reactions
1K Replies
114K Views
Week ijayo star wa Bongo Flavor Diamond Platnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063] Diamond Platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa...
10 Reactions
252 Replies
20K Views
Two weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza. Kiufupi wasanii Kama hawa...
10 Reactions
48 Replies
7K Views
Wakuu natumaini mu wazima. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, naomba mwenye CV ya hawa wadada wa Daresalaam atupe. Kijuu juu Masha Love ni dancer mwenye nyonyo nzuri lakini ni balozo wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Actually ni tatizo kubwa, mtu ana miaka 40+ lakini hakui, anagombania Uteeneger na wanae. Kibaya zaidi anajifunika kwenye Mwamvuli wa ulokole, ukiangalia Mienendo yake na Ulokole anaojipambanua...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Bora limekufa lile lienda kuzimu 😂😂😅😆
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwanamitindo maarufu instagram kama @leavemaryalone amechukua headlines mara baada ya kulalamika kufanyiwa kitendo cha kutolewa na kushushwa kwenye usafiri wa ndege kutokana na ukubwa uliopitiliza...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
ameandika hv kutoa shukrani "Alhamdulillah tumeruhisiwa me and my baby we're both fine... wale wote waliotaka kuja hospital tutakua hatupo , nashukuru kwa walio kuja pia sana wapenzi... nashukuru...
0 Reactions
31 Replies
12K Views
Wiki hii hapa kazini CMG tumepewa taarifa kwamba Barbra Hassan kamaliza sabbatical leave hivyo anarudi kwenye pindi lake hivyo kumfanya dj Fetty kwenda kukiwasha sports extra. Wakuu yapi maoni...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Foby... Huyu jamaa ana ngoma kali.. yaani zotee ni konki ukiongeza na hii ya juzikati "niokoe "..sema jamaa hapewi promo kubwa.. Ibrahnation.... Huyu jamaa katika watu ambao hawana bahati ni...
4 Reactions
72 Replies
10K Views
Habari ndio imeandikwa hivyo na baadhi ya picha..... ===================== ===================== Did Y'all Know That There Were INSTAGRAM BOOTY MODELS . . . In AFRICA . . . And This THICK Chick...
3 Reactions
90 Replies
21K Views
Mchezaji wa klabu ya PSG (Paris Saint-Germain Club) na Timu ya Taifa, Ander Herrera ametua kwenye Uwanja wa Ndege wa Seronera uliopo Hifadhi ya Taifa ya Serengeti Leo tar 01 Juni, 2022 akiwa...
15 Reactions
22 Replies
3K Views
Mtangazaji wa clouds Fm Ephraim Kibonde ameitumia salamu Jamii Forums, home of great thinkers na ameshukuru na kuheshimu michango yake..
2 Reactions
771 Replies
105K Views
Depp awarded $10M, Heard $2M in split libel lawsuit verdict By DENISE LAVOIE FAIRFAX, Va. (AP) — A jury awarded Johnny Depp more than $10 million on Wednesday in his libel lawsuit against...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Huyu msanii jina lake halisi silijui ila alikuwa na heka heka sana enzi hizo. Mara ya mwisho alikuwa anaishi Sinza kwa jimama moja kama marioo na alimfukuza kwake baada ya kufilisi duka...
10 Reactions
104 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…