Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru msanii wa maigizo, Mwemba Burton maarufu Mwijaku, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake katika kesi ya kusambaza...
Kuna uvumi kwamba wasanii wengi hawatoboi kisa wana management mbaya.
Sasa kwa msanii mondi ambaye mameneja wake wana manage wasanii wengi kama Tale( Madee, Janjaro, Shaa) na Mkubwa Fela( Chege...
Anaitwa John Makini aka Mwamba Wa Kaskazini au Jay Z wa Arusha.
Huyu jamaa hataki kabisa kuwapa ushirikiano Wasafi Media. Daima anaikimbia mic ya Wasafi.
Akiitwa kwa ajili ya interview haendi...
Yule mama mtaalamu wa kuuza na kutengeneza nikorogo ya aina zote mjini amefunga ndoa Leo.
Ndoa hii imehudhuriwa na mastaa mbalimbali wa mjini.
Joan ndoa haina mwenyewe hivyo ni wajibu wako...
Hapa kwa ma legendary wenzangu wa miaka ya 80’s-90’s,nyie wa 2000 hii haiwahusu kabisa,mwaweza pita tu.
Vuta picha uko zako ghetto enzi hizo unaskiza ngoma kama
-this one I promise you ya...
Tunaweza kusema hawa mabwana wanatafuta pesa, ila ukweli ni kwamba Harmo anatakiwa awe makini sana na wanaojiita machawa wake huenda ndio wana "msnitch"
NB: "Ukiwa fukara kamwe huwezi kuwa...
Jamii Hip #0p wozaa
Nadhani sina haja ya kusema mengi kwani kuna baadhi ya mambo yanafanana na utani. Mambo yenyewe ni msanii kulalamika kuibiwa mistari. Msanii ni mtu muhimu sana katika jamii...
Bongo Movie actress Frida Kajala has raised eyebrows among her 6 million followers after unblocking and even following back her ex-boyfriend Harmonize after months of begging for forgiveness.
The...
Wiki hii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee aliamua kutoa yake ya moyoni kuhusu marafiki zake kutomuunga mkono katika biashara zake.
JayDee alisema kuwa kuna baadhi ya watu ambao...
Baada ya Zuchu kufanya show kwenye jukwaa la kimataifa kwenye African Day ambayo host alikuwa Idris Elba.
Zuchu alifanya show ya kukata na mundu kiasi crowd yote ikabaki na butwaa hapo mjini...
Msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz aka Simba anapiga expensive show ndani ya Mwanza leo.
Basi watu wote ndani ya Mwanza wamejawa na furaha.
Kama una ndugu au jamaa yupo Mwanza mpigie...
Kuna mambo mengi sana siku hizi yanakosekana kwenye tasnia ya burudani Tanzania. Naamini mambo yamekuwa feki sana kiasi kwamba kuna utamu na uchungu wa kisanaa tunaukosa. Au nimezeeka?
Miongoni...
jamani kama ni uzuri huyu binti amejaaliwa, kuanzia shape, sura mpaka rangi. Tutajenga kweli kwa mtindo huu? Yuko wapi yule aliyesema Tanzania hakuna watoto wazuri?
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
A. MABINGWA WA BREAK-DANCE TZ
1. Black Moses
2. Mzee Bachu
3. Ommy Sydney
4. Salma Sweet Kajela
5. Athuman Digadiga "Double D "
6. Jimmy To London
7. Bosco Aidan Cool J
8...