Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msemaji wa ikulu ya marekan mwanamam Marie akiwa na mumewe suzani dunie inakwenda Kasi sana USSR
9 Reactions
49 Replies
7K Views
Naona bwana Mdogo Abdul Mohamed,General Manager wa Azam Sports Club ameachana na ukapela na hatimaye kufunga ndoa na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi.Zainabu Abdalah!! Make up ya Bibi Harusi ipo Ok...
23 Reactions
280 Replies
68K Views
STAA wa muziki wa Bongofleva na bosi wa lebo ya Next Level Music, Raymond Shaban Mwakyusa (Rayvanny) amefikisha (streams) milioni 100 kupitia jukwaa namba moja la muziki barani Africa Boomplay 🙆🏿...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Tanzania kuna watu wengi kwenye nyanja mbalimbali ambao wamefanya makubwa kwenye nchi lakini hawatajwi wala kupewa heshima wanayostahili. Sasa mimi nitawataja wachache na yoyote anaemjua mtu...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Twins D’Lila and Jessie, Chance, Christian and Quincy were all in attendance. We love to see the Combs family together. For the 2022 Billboard Music Awards, Diddy brought out a few of his kids for...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
The 34-year-old singer from Barbados had her baby boy on May 13, according to a report from TMZ. The Savage x Fenty designer and the 33-year-old DMB singer have yet to confirm the baby's arrival...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Emmanuel Myamba almaarufu Pastor Myamba; ni staa mkongwe wa Bongo Movies ambaye alikuwa muigizaji mwenza katika filamu nyingi za marehemu Steven Kanumba. Pastor Myamba amedhibitisha kupata ajali...
7 Reactions
40 Replies
6K Views
Habari za weekend wadau, Mapambano yaendelee hata kama mama anaupiga mwingi. Jana zilitoka taarifa za kifo cha aliyekuwa raisi wa falme za kiarabu (U.A.E) Sheikh Khalifa bin zayed Al Nahyan baada...
22 Reactions
97 Replies
10K Views
Wakuu.. Sio Mpenzi wa kusikiliza Redio Ila Niko sehemu Fulani naisikilizia kipindi cha Temino. Harris Kapiga Ana makelele Jamani.,Yaani Hampi Nafasi mgeni Rasmi Kuongea. Sijui Shida nini na...
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Nimeumia sana baada ya kusikia hii nyimbobya nigeria ya bwana yule anayesema 'baby calm down calm down' baby wowowowoowowow alafu lolololololo kwa kweli nyimbo hii imetrend sana Tanzania Ni lini...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanajukwaa wa JF nawapa salam, ni matumaini yangu mnaendelea vizuri. Japo ninayajua mambo machache kuhusu mtaalamu wa mziki wa aina ya HipHop- Godzila (King Zila) nimeona itakuwa bora...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Akiwa Anatarajia Kuachia Album Yake Ya #BREEZY Mwezi June 24 Mwaka Huu Msanii @chrisbrownofficial Ameweka Wazi List Ya Wasanii Ambao Wapo Kwenye Album Yake Hiyo Na Good News Ni Kuwa Msanii...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ni Clip fupi kwenye Interview ya Star Boy Wizkid,Hapo Wizkid anasema Album yake ya Sound From The Other Side ilikuwa kali Lakini hiyo inayokuja ni kali na haina mfano,Anakazia hapo kwa kusema...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
SEVEN na SALAMA JABIR WALINIBANIA USHINDI WANGU WA COCA COLA POP STAR MWAKA 2004 NA KUWAPA SHAA,LANGA na WITNESS LAKINI DUDUBAYA ALINIACHA HOI. Mashindano ya East Africa Coca Cola Pop Star...
11 Reactions
119 Replies
17K Views
duh! Kuna watu Wana hela ile mbaya maana hapo ni kama 1.4B kwa hela za kitanzania bado hapo kodi ya TRA kwa namna hii ninaweza kuamini Diamond anaweza kununua ndege kama alivyosema kuwa mwaka Huu...
4 Reactions
38 Replies
8K Views
Anna na Lucy DeCinque ni mapacha "waliokithiri". Dada hao wenye umri wa miaka 35 kutoka Perth, Australia, wanajiona kuwa "mtu mmoja" na wanasisitiza "kufanana" kwa kila njia - ikiwa ni pamoja na...
6 Reactions
39 Replies
5K Views
Diva The Bawse sio mtu wa mchezo mchezo, amewaonesha mashabiki jambo ambalo limewashtua katika mtandao wa Instagram. Mtangazaji huyo wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, amepost picha...
8 Reactions
286 Replies
64K Views
Wakuu Kupitia mitandao yake ya kijamii rapa huyo mkongwe wa Bongo Fleva Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro alimaarufu kama Chid Benz ameandika kuwa. . Kuna namna Wasanii wanakua chini kifedha but...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Siku nyingi sijamsikia huyu dada, kwasasa yuko wapi?
5 Reactions
33 Replies
8K Views
Tangu juzi kulipotokea msiba wa marehemu seth pilipili amekuwa akipost qoutes mbalimbali kuhusu marehemu, si kitu kibaya ila baada ya hapo ameendelea kupost picha mbalimbali za matukio ya msiba...
17 Reactions
122 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…