Huyu mpiga drums anafaa kupiga punda na sio drums, huyu mpiga solo bora hata umtafute nape, kwa hadhi yako ajiri wakongoman na madensa kutoka africa ya kusini, bora ukafanya show mbili za ukweli...
Wakuu Heshima Mbele,
Kiukweli huyu mwamba anajitahidi sana sana na sijapata ona nani anaweza kuifikia sauti yake. Nimeangalia na kusikiliza pini yake ya "Kwa Hela" mara mia sijaona nani anaweza...
Google wametangaza washindi 10 wa mwanzo
wa tuzo za Youtube Sub-Saharan African Creator (YoutubeSSA)
Tuzo hizo zimekuwa zikifanyika kwenye mabara
mengine tangu mwaka 2007 na zimekuwa...
Ni mwandishi pekee aliyekwenda kwa hiyari yake mwenyewe kutoa ushahidi kwenye tume ya mwakyembe na amekuwa akisakamwa na mafisadi kila kukicha lakini ametoa maisha yake kwa nchi yake
SHILOLE AKIWA NA STYLIST WAKE MARTIN KADINDA ASHEREKEA DEAL LA FIESTA...
AANDIKA HIVI
#Fiesta2016 imoooooooooo nishadondosha wino kama msanii wako wa fiesta mwaka huu... nasikia rahaaaaaa with my...
Sitaki mengi mwenye masikio na asikie.
na nyingine ni ya huyu mdogo wangu kabisaaa.
NB. sitaki kuwa sehemu ya ugomvi ila nataka masikio ya watu wengine yasikie pia halafu watoe maoni yao.
nahisi...
Mr t_touch awali alikuwa akifanya kazi na nay wa mitego katika studio za free nation ila aliamua kuondoka na kuanzisha studio yake inayojulikana Kama 'Touchez soud'
Touch ametayarisha asilimia...
Wema Sepetu hatimaye nae amwaga povu kama mama yake kuhusu bifu la mama yake na man fongo.....Wema alimvutia waya Soudy Brown na kutaka asiliongelee hilo bifu la mama yake na man fongo kwa kuwa...
Nimepitia account ya diamond sijaona clip yoyote ya video aliyopost naona picha tu mwenye clip video naomba utuwekee iyo show ya live aliyofanya diamond Malawi
1. Idriss sultan bba ni bonge la comedian sikuwahi kuhudhuria show ya huyu dogo ila kwa dk chache nimejua ni bonge la comedian anaweza kuwa kevin hart w bongo
2. Jamaa (steve) anaigiz kiingereza...
Sina mengi ya kuongea sana wale old school wenzang watakumbuka mengi katika hizi picha.
Beef na ugomvi havitasaidia mziki wetu isifike mahali tukajaanza kutengana na kubaguana, tupendane na amani...
Kama tunavyo fahamu kwamba Youtube ni Mtandao ambao karibia wasanii na wasio wasanii wote Duniani hu utumia kwa ajili ya kuweka kazi zao ili kuji ingizia kipato kutokana na idadi ya watazamaji...
Kuna kundi A / team haina office, haina sehemu ya mazoezi, wanaazima vifaa vya music bend,hawana wasaidiz katika idara mbali mbali za kazi zao eg. Stylish, videographer au choreographer, kila kitu...