TIMU YA TANZANIA MOVIE TALENTS KUWAKILISHWA NA JAJI SINGLE MTAMBALIKE KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU ADAM PHILIP KUAMBIANA
Uongozi wa Kampuni ya Proin Promotions Limited na Timu nzima ya Kampuni ya...
Msanii wa muziki hapa nchini, Ney wa Mitego jana amemuangushia bomu muigizaji wa filamu nchini, Jacob Steven aka JB kuwa hana tofauti na waigizaji wa Bongo Movies anaowachukulia kama vicheche...
haka ka bishosti huwa nakashangaa sana. Sijui hii jeuri kanaitoaga wapi'
Orodha ya wasanii watakaoshiriki
kwenye Kili Music Tour 2014 imetangazwa leo. Mwaka huu zaidi ya wasanii 30 watashiriki...
Jambo limezua jambo, pamoja na kuanza kwa kishindo safari yake ya kuelekea Afrika Kusini ' Sauz ' kwa ajili ya fainali za kuwania Tuzo za MTV Africa ( MAMA ) , mwanamuziki Nasibu Abdul...
Chris Rock will be hosting the upcoming 2014 BET Awards.
As early as now, the 49-year-old comedian is reminding everyone that when it comes to his jokes on the said event, "no one is off limits."...
Tabia ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta Lulu ya kutojumuika nawenzake kwenye matukio ya kijamii hasa matatizo inadaiwa kuwakera klabu ya Bongo Movie Unity hivyo kuandaa...
From London With Love ...!!! Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Wastara Juma ambaye kwasasa yupo London Uingereza amevishwa pete ya uchumba huko na mwanaume anayeonekana hapo pichani. Wastara...
Beyonce's enraged sister Solange kicks and throws punches at Jay Z in violent attack after Met Gal
Singer left in car with her sister after fight; leaving rapper to travel home alone
Jay Z was...
Diamond kaingia kwenye mchakato wa kuwania tuzo kubwa duniani za BET.
KATIKA CATEGORY YA Best International Act: Africa category, artists Davido (Nigeria), Diamond Platnumz (Tanzania), Mafikizolo...
RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond' yuko ndani ya bifu zito na mwanamuziki kiwango cha juu kutoka nchini Kenya, Jackson Ngechu Makini ‘Prezzo' chanzo kikidaiwa ni Miss...
♥Sean Combs, aka American rapper P. Diddy,
graduated with a doctorate from university of howard on saturday 10 may 2014 and described it as "one of the most important moments of my life"...
Siku Diamond Platnumz anafagia tuzo saba za Kilimanjaro, ubavu wake kushoto Wema Sepetu alikuwa naye bega kwa bega. Na katika wakati mmoja alipanda jukwaani kutoa maneno ya shukrani kwa niaba yake...
Hatimaye mkali katika tasnia ya sanaa nchini Wema Isaac Sepetu leo usiku amevishwa pete na jamaa kutoka machozi band anayekwenda kwa jina la Mwinyi na kudhihirisha ukisema chanini wenzako wanasema...
Diamond Platnumz atazidi kuwa si msanii tu wa kawaida bali ni moja kati ya wasanii wengi wa kimataifa.ukiacha pesa anayotoza treatment na mahitaji yake hadi kumpandisha kupiga show moja si ya...
KIMENUKA! Komediani aliyebahatika kuwa maarufu Bongo, Mujuni Silvery 'Mpoki' yuko njiani kupandishwa kizimbani kufuatia mastaa waliodai aliwadhalilisha usiku wa Tuzo za Kili kucharuka na kwenda...
Producer na CEO wa Bhitz Music Group, Hermy B ameandika barua ya wazi akielezea yaliyowahi kutokea Bhitz, uamuzi na mpango wao mpya.
Nikiwa kama CEO wa Bhitz Music Group na Producer ambaye...
Kuna nyimbo imeenea kwenye mitandao ya kijamii toka jana, ambayo watu wameibatiza jina la tororondo sijui, ukweli wa nyimbo hiyo siyo nyimbo oficial mana kuna mpaka baadhi ya watu wameileta humu...
Amani iwe nanyi wanajamii!
Kazungumzwa sana George Maratu wa ITV,vip kuhusu huyu jamaa wa kipindi cha zamadani pale TBC!? Mimi binafsi sielewi kuwa ni swaga au pozi kwenye kuongea kwake ila kwa...
Hatimaye Nay wa Mitego amezungumzia scandal iliyokuwa ikimhusu mchumba wake aitwaye Siwema ambaye mwezi uliopita ilisambaa video na picha kwenye mtandao wa Instagram inayomuonesha akivishwa pete...