Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Masanja Mkandamizaji ambae anatajwa kuwa miongoni mwa wachekeshaji wachache wa Tanzania waliofanikiwa kimaisha, amesema ‘Mungu wangu ni mzuri, asante Mungu kwa kunipendelea… usafiri huu kwangu...
2 Reactions
48 Replies
23K Views
Ni msanii ambaye anaweza kuwa ametajwa zaidi kwenye tuzo za KTMA 2014 lakini Diamond Platnumz hajaliacha Baraza la Sanaa Tanzania likae kwa amani kwa uonevu ilioufanya kwa Jux, Madee na Snura...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Mahaba nipige makonde...Mahaba nikaushe damu...Diamond akiwa amevaa Wigi la Wema....Mapenzi matamu sana.
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Audio: Jay Z amtaja Lupita Nyong'o kwenye verse yake "Im on my Lupita Nyong'o..." Lupita Nyong’o, muigizaji wa kike toka Kenya anaendelea kung’aa na kuwa mada ya kuzungumziwa hata na watu...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
ILE gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 alilokuwa akitanua nalo staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ liko sokoni linapigwa bei. Diamond akiwa ndani ya Toyota Land Cruiser V8...
0 Reactions
5 Replies
49K Views
P. Diddy wants to be known as Puff Daddy again and claims he has "always" used his original stage moniker. P. Diddy P. Diddy wants to be known as Puff Daddy again. The rap mogul - real...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vyombo vyake vya habari kwa miaka 20 vimetoa wana habaro ambao karibia wote leo ni watu wenye hali nzuri kimaisha Kuna wengine wameshatangulia mbele za haki RIP lakini wameondoka kwa heshima...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Inasemekana ule mjengo wa kijitonyama aliokuwa akiishi super star wema sepetu ilikuwa siyo ya kupangisha kama inavyojulikana, Bali mjengo ule ni mali halali ya bwana clement , ambayo alinunua kwa...
1 Reactions
31 Replies
10K Views
Nimevutiwa sana na uvaaji wa msanii huyu Pharrell sio mbaya wanaJF tukatoka mara moja moja kwa stail hii!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Duh wewe jux sio mtu mzuri, ndio nini kutupa presha kipindi kile?, ukajifanya wewe ndo Jackie ukaingia kwenye account ya instagram ya jack na kujifanya jack ukapost utumbo unaoujua wewe, au ndo...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Naye mrembo na videoqueen mashuhuri tanzania AGNESS GERALD “masogange” naye hivi majuzi ameonesha picha za tattoo alizojichora na picha nyingine akichorwa kupitia mtandao huohuo wa instagram...
0 Reactions
61 Replies
37K Views
Haya ndio aliyoshushiwa na team husika. Mie sikujua kama na kipozeo cha mheshimiwa ni mtoto wa mjini...! mengine tumuachie mheshimiwa mwenyewe.
0 Reactions
102 Replies
15K Views
Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona mwanaume ambaye anaweza kuwa naye na kumzalia mtoto kwani wote...
0 Reactions
38 Replies
11K Views
Hakika Diamond si Mwenzetu Sasa hivi Baada ya Video yake ya Number 1 Remix kufanya vizuri na kufikia kukamata namba moja katika kituo kikubwa cha Tv Trace sasa amekuwa kama lulu, Unaambiwa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni zaid ya boss,siyo mtemi..ni rafik,ni kaka yetu, ni mshauri wetu, na siku zote anapenda aone tunafanikiwa,anatufanya tujione tunaweza kufanya hat yale tuliyojiona hatuwezi fanya. Siyo mkosoaji...
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Kama mnavyoona kwa picha,maisha ya baba yake ni duni wakati wasanii mjini wanamsujudu,wadogo zake wamefukuzwa shule kwa kukosa ada. BABA YAKE AMLAANI YEYE NA WANAOMUIMBA KWENYE MUZIKI.
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Akiwa katika mahojiano na na mwandishi wa swahilitz msanii mwenye heshima kubwa katika kiwanda cha bongo movies Yobnesh Yusuph "Batuli" aliweja wazi kuwa wasanii wengi wakike ndiyo watumiaju...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Kuna rumours nyingi hapa kitaa kua jide anahusika katika hii redio mpya inayokaribia kuzinduliwa hapa bongo! It might be the way to fighting the monopolistic radio(the big one) in bongo music...
0 Reactions
35 Replies
12K Views
It feels good, congratulation heaven on desert
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…