MWIGIZAJI wa kike wa filamu Yobnesh Yusuf Batuli amefunguka kwa kuongelea ugomvi na chuki ambazo zimekuwa zikiripoti kwa akina dada kutoka Bongo movie sababu kubwa ni ugomvi wa kuibiana wanaume...
Huu muda wote mpaka Miley Cyrus amalize concerts zake za Bangers tour, tutajitayarisha kuona mengi.
Hivi mwezi jana staa huyu aliweza kuilamba chupi ya fan wake mmoja na haingekuwa maajabu kuona...
Stori: Shakoor Jongo
STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu' amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu. Katika mahojiano...
Kutoka kwa shuhuda wetu, jana March 13 2014 kulitokea ugomvi studio baada ya Ommy Dimpoz kupost picha akiwa studio na Diamond na mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambae amewahi kuingia kwenye...
Jamani, poleni na shughuli za hapa na pale
Me naomba kuuliza, hivi huyu mustafa Hassan ally mwanamitindo, huu wembamba alionao ni diet au kuna kitu kingine kimefanyika?
Maana miaka ya nyuma kidogo...
Msanii wa hiphop Ibra Da Hustler amepelekwa rehab ndani ya Kigamboni Sober House!
Akiongea kwa simu kupitia kipindi cha XXL cha clouds fm mama mzazi wa msanii huyo amesema amelazimika kumpeleka...
Singer Chris Brown was arrested yesterday afternoon by Los Angeles County deputy sheriff on a warrant related to his 2009 conviction for assaulting his then-girlfriend Rihanna.
He was taken to...
Hakika ana uzuri wa asili hususani ngozi yake. Hata hivyo-mnisamehe
kama ntakuwa nimekosea-siku ya utoaji tuzo, huyu binti ngozi yake
ilionekana kama ametolewa toka kwenye matope, maana sehemu...
Mwenyekiti wa chama cha Democratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila, leo aligeuka kioja baada ya kutinga katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam, akiwa amenyuka suti...
Mmoja kati ya vinega wa ant virus MKOLONI amesema movement ya vinega iko palepale na sugu ndani waliyopatana leo ni ile dili ya MALARIA tu na cyo MOVEMENT YA MUZIKI na WANYONYAJI
A.Y
Representing the initials of his
names Ambwene Yessayah. background .. Began his musical career at the
tender age of ten.
While in primary school he
participated in talent searches
and...
Sio siri jamaa kimuziki alikuwa yuko vizuri sana kipindi fulani. Ngoma zake kama Zeze bado nazisikiliza na kuzikubali. Kipindi cha karibuni amekuwa kimya, hivi bado ana-perfom na bendi yake?
sugu amesema kuwa ana mpango wa launch kinywaji chake
akiongea kupitia kurasa zake za facebook sugu anasema
.im quitting konyagi soon...coz im about to launch my own drink...!!!
Mkali wa sauti , panclas ndaki "pnc" amefunguka kuwa ameamua kupambana kivyake bila msimamizi kwenye game ili kuhakikisha mziki wake unasonga mbele. Amefunguka hayo Mara baada ya boss wa...
Taarifa kwa umma:
Leo majira ya saa 7 vinega wengi walikuwa pale mahakama ya kisutu ili kuweza kujua ni madai gani yaliyowafanya waitwe mahakamani......madai ambayo kwa mujibu wa karani wa...
Rihanna jijini London aliwasili huku amevalia chain katika shingo pamoja na kuvuli...Rihanna anakisiwa kuwa na mahusiano ambayo bado hayajakuwa wazi na msanii Drake.
Cheki baadhi ya picha...
Justin Bieber
Justin Bieber's defense attorney Roy Black insists the singer has not been offered a plea deal in his driving under the influence (DUI) case.
The 20-year-old star's legal team...
Whitney Houston
Whitney Houston's daughter Bobbi Kristina Brown has defended herself against online jibes about her weight.
The 21 year old, whose father is Bobby Brown, has been bombarded...
Leo ni bday ya EMCEE WITH AN MCS, HAMIS CORLEONE MWINJUMA (MWANA FA).
Ujaaliwe busara katika kupambana na maisha yako.
Hope umewasamehe vinega kwani nao wameshaenda kumpigia magoti Ruge kama PNC...