Lupita Nyong'o, staa wa Hollywood ambaye mizizi yake ni mkenya siku ya Alhamisi aliweza kushinda tuzo la best supporting actess katika critics choice awards.
Staa huyu wa filamu ya 12 Years A...
Staa wa zamani Emma Thomson hakupata nafasi za kuchakuliwa kuwania tuzo lolote lakini hilo halijamzuia yeye kuonekana mara kadhaa katika awards zinazoendelea.
Ameonekana akiwa mlevi na mcheshi...
When your parents are the highest paid celebrity couple in the world, you come to expect a bit more than chocolate cake and a few balloons for your birthday. Yes, even if you're 1.
Blue Ivy...
katika gemu la muziki wa Bongo Fleva, Mwasiti Almas amefunguka exclusive kuhusiana na maisha yake kwa jumla ambapo kwenye masuala ya uhusiano amebainisha kuwa alimjua mwanaume mara baada ya...
Kim Kardashian & Kanye West pays a private visit to Paris to check out Palace Of Versailles and other Nearby Hotel ahead of their marriage plans. The bride and the groom considers Palace Of...
Khloe Kardashian may be dealing with drama in her personal life, but she continues to put on a brave face and thats exactly what she did when she shared an adorable shot with Scott Disick on...
MSANII filamu na muziki wa kizazi kipya wa Tanzania Baby Joseph Madaha maarufu kwa jina la (Baby Madaha) amesema kwamba msanii mwenzake wa muziki nchini,Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond...
Kuna ule msemo wa zamani unaosema kuwa chema chajiuza, kibaya chajitembeza, lakini huu msemo hautafanya kazi hapa.
Kulingana na model huyu kutoka Ghana, anendelea kueneza kuwa yeye ndiye mwenye...
Tangu Diamond na Wema Sepetu kurudiana kwa mara nyingine sasa imekuwa gumzo la mtaa lisilotaka kuisha hivi karibuni.
Kila anaewashabikia mastaa hawa kurudiana amekuwa na mtindo wake wa kuonyesha...
MARTINI KADINDA AUKANA UJUMBE UNAODAIWA ALITUMIWA NA JACK CLIFF BAADA YA KUKAMATWA NA MADAWA SOMA ALICHOKISEMA
Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda anayedaiwa kuwa meneja wa zamani wa...
Na laani mtindo huu watu wanao fahamika fahamika hapa bongo kubuni vitu ambavyo wakati mwingine ni vya kijinga kwa lengo la kujiongezea umaarufu.
Uvumi ya kwamba clouds fm imewatimua vijana...
Bila shaka msanii huyu anayetamba sahizi kwa nyimbo yake mpya ya My Number One remix ni staa wa kulengwa kwa manati.
Diamond Platinumz kwa sasa yupo na anazidi kuendelea kuwepo kila uchao. Staa...
HATIMAYE yule Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya Masogange aliyepatikana na hatia ya kuingiza nchini Afrika Kusini malighafi haramu aina ya ephedrine, amemtaja mtu aliyemtuma mzigo huo kuwa...
Uamuzi wa kuwasimamisha b12,Adam Mchomvu na Diva sio wa busara kibiashara.
Kipindi cha xxl kimekuwa na wapenzi wengi sana kutokana na chemistry nzuri ya mchomvu na b12. Hawa jamaa wanajua sana na...
Wakumbuka ile skendo iliyomkumba Nisha kuwa anaugua baada ya kuavya mimba? Sasa amejitokeza wazi baada kuwa kimya kwa muda mrefu kuhusu hili jambo.
Nisha aka Salma Jabu amefunguka akidai kuwa...
Habari zenu wana CF!
Nimeona si vibaya tuone leo list ya wasanii bora wa filamu na sanaa za maigizo katika bara letu la africa kwa ujumla.
list hii ni kwa mujibu wa konnectafrica.com na kwa...