Leo nilikuwa nacheki movie mpya ya JB inaitwa DANIJA, movie imechezwa na JB mwenyew,Adam kuambiana,Gabo na muhusika mkuu wa hiyo movie anitwa DIANA KIMARO, dah huyu demu ki ukweli yupo vizuri...
Miraji Kikwete na Aima Mahmoud wakiondoka kwenye ukumbi wa Mlimani City baada ya kufunga ndoa yao jana. Picha na Florence Majani
Kwa ufupi
Sherehe hizo zilianza saa 7:00 mchana baada ya ndoa...
MREMBO aliyengara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan Hamisa Mabeto ameonekana kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini Prezzo, Huddah Menroe kwenye...
Kimkardashian na beyonce wamekuwa marafiki kupitia waume zao, kanye west na jay Z,ila inavyoonekana urafiki wao sio wa kivile baada ya Beyonce kugoma kuwa matron wa ndoa yao inayotarajiwa...
Nimeangalia kipindi cha mboni show siku ya leo jmos tar 18.1.14 hakika kilikuwa kizuri na nimekipenda wageni waaliku walijitahidi kuzungumzia mengi sana.Waalikwa ni George Masatu Dua Saidi...
Baada ya kusikiliza album kadhaa, kuanzia ya Jay z Magna carter holy grail, Kanye west Yeezus, Kendrik lamar, na nyingine nyingi zilizotoka 2013 NA 2012. nimebaki sina cha kufanya isipokuwa...
Heshima mbele,
Wadau wiki liyopita huyu "mtoto mkubwa wa pili wa kiume" wa JK kaweka picha mbili za viongozi wabunge na mawaziri,Wassira na Komba katika ukurasa wake wa Facebook wakiwa wamelala...
Bongo Voice: JE UNAFAHAMU JB (Bonge la bwana) KATOKA WAPI??, ALIKUWA ANAFANYA NINI..?? SOMA HISTORIA YA MAISHA YAKE TANGU ALIVYOKUWA MPAKA ALIVYO SASA.
ZILE tambo, mbwembwe na majigambo ya Miss Tanzania 2006/07, aliye pia msanii wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu, zimefika mwisho kufuatia kunyanganywa samani za ofisi yake ya Endless Fame Film...
Rihanna msanii anayejulikana ulimwengu mzima kwa sauti ya kutoa nyoka pangoni wakati huu ameamua kupiga picha na gazeti la Vogue.
Upigaji huu wa picha la gazeti hilo ulifanyika nchini Brazil...
The nominations for the 86th Academy Awards were announced Thursday morning.
The nominees for best picture are American Hustle, Captain Phillips, Dallas Buyers Club, Gravity, Her,...
Kim Kardashian shows off some adorable new photos of her seven-month-old baby girl North West during an appearance on The Ellen DeGeneres Show, airing on Friday. The 33-year-old reality star...
STAA wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel amejikuta akizichapa na mwanamke aitwaye Sarah Mwakapala ambaye miaka mitano iliyopita waliwahi kugombea penzi la mwanaume anayejulikana kwa jina la Mwilu...
MRENO Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia wa mwaka wa FIFA kwa mara ya pili katika historia yake, akimuangusha mshindani wake mkuu, Lionel Messi.
Nyota huyo babu...
Nilikuwa naperuzi mtandao wa instagram dakika sifuri iliyopita na kukutana na picha mpya ya boss lady Jackie Cliff. ..
Sada najiuliza tu sijui jela ana access ya simu au ametoka. Au labda mtu wake...