Nicki Minaj ni mwanamziki asiyeona haya hata mara moja.
Mwanamziki huyu amerusha picha zake mpya katika mtandao wa Twitter.
Picha za kwanza Nicki ameonyesha mkono wake halafu tabasamu, picha...
Snura ameanza kudhihirisha kuwa anaweza kuvuka border. Hii ni baada ya mzungu mmoja anayejulikana kwa jina la Joan kutamani kufundishwa kudengua mauno kama vile Snura anavyofanya.
Mzungu huyo...
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo jijini Dar.
Akizungumza na...
We have many powerful poeple in this world,but here are thirty(30) most powerful of them,with their age.
30. Li ka-shing:
He is the chairman of Hutchison Whampoa,and he is 85 years old.
29...
BAADA ya kuzagaa kwa fununu za chini ya kapeti kuwa mastaa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi na Chuchu Hans kutarajia kufunga ndoa, wenzao wa Bongo Movie wameonesha hadharani kuwa wanaiunga...
Habari wanajamvi,
Ijumaa iliyopita nikitoka Job mida ya mchana, nilimsikia huyo jamaa akiwa anatoa mistari yenye kibwagizo ..."natuma salamu"...huku Adam Mchomvu akiwa anampa support! kuna...
Kim Kardashian ni staa ambaye ana mwili wa kuvutia, na kila mtu atakubaliana na mimi hapa.
Siku ya jana Alhamisi, Kim aliweza kuweka picha yake wakati alipokuwa shule ya upili na mwenzake Nicole...
RAY C AFUATA YA MASANJA NA MASTAA WENGINE, NAE AOKOKA KWA KUBATIZWA LEO! CHECK TUKIO ZIMA
Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za ubongo wa fuleva leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na...
**WADAU WA HIPHOP
INAWAHUSU HII**
Wasanii wengi wa Hiphop
wakiwa kwny mahojiano
au wadau wengi
wakiulizwa mc gani
wanayemkubali wengi
humtaja HASHIM
DOGO.Frankly
speaking,binafs wimbo...
Tarehe 7 mwezi huu Lulu Michael alikuwa mwenye furaha wakati alipokuwa akisherehekea kuzaliwa kwa mama Kanumba. Ilikuwa furaha kuu huku akiweka picha zake na za mamake Kanumba kwa Instagram...
This is completely awful. Monica Spear, 29, former Miss Venezuela and current telenovela star, was shot and killed while vacationing in her home country. Spear's boyfriend was also killed...
This is quite impressive. I like the fact that some leaders just live normal everyday lives. They are simple and they are themselves.
British Prime Minister, David Cameron was spotted holding...
Jana nilienda nyumbani lounge pale,jide alikuwa anazindua single yake mpya inayokwenda kwa jina la HISTORIA,ki ukweli imetulia sana,ni wimbo unaohusu maisha na historia ya kawaida ya mwanadamu...