Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Tangu Gerald Hando aondoke Clouds huyu jamaa Wasiwasi amechukua nafasi yake kwenye Power Breakfast. Anachoendeleza ni ukatuni na mizaha tu yaani hata haelewi nini cha kufanya. Linachekaacheka tu...
0 Reactions
71 Replies
13K Views
Je unaishi Dar-es-Salaam..? Unakipaji, Uwezo na Elimu ya kupiga picha, kushoot Video na kuedit...? NOTE:- 1)Uwe na Uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa.... 2)Uwe na sample za kazi kadhaa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kim said we shouln't get tired yet, because she's just getting started. The babe effortlessly slayed this sassy look. as they headed to Kanye West's Yeezus show. Oh yea, Kanye looks good too
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wadau...!! naombeni msaada wenu wa hali na mali. naomba kujuzwa jinsi ya kuonana na wasanii hawa, jacob steven (JB) pamoja na vicent kigosi (Ray) wadau nina shida nao ya msingi sana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
uyu mwanamke pamoja na kuwa maharufu na pesa pia lakin anaheshimu ndoa yake na ametulia,wengine muige mfano kwake
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Popular Tanzanian singer Diamond admits having coitus with his blood Sister20/11/2013 0 Comments (photo: hiphopworldmagazine.com) Word coming from Tanzania has it that Diamond who is...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimua aliyekuwa director wake maarufu kwa jina la Chid ni ufuska uliokubuhu wa director huyo ambaye alikuwa akitumia magari ya Wema...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Kama jamaa akikomaa na game,pengine anaweza kutangazwa Kwenye jarida maarufu la mastaa duniani FORBES MAGAZINE,jarida namba moja kwa kutangaza utajiri wa wasanii na watu maarufu duniani,kama...
1 Reactions
53 Replies
10K Views
  • Closed
Blog yako imekuwa ni source ya habari nyingi hasa hasa za enterinment na kujizolea umaarufu mkubwa ila cha kushangaza wanamuziki Psquare wapo nchini sijaona hata ukigusia ujio wao.Au kwa sababu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
STAA mwenye umbo la kipekee katika soko la filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kuwa ameamua kuukacha mkorogo aliokuwa akiutumia kwa muda mrefu. Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Kama uko hapa PM tujuane.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya AY na Mwana FA kuzikimbia studio za Bhitz mwaka jana mwishoni kutokana na ugumu wa Kufanya kazi na Hermy B na management yote ya Bhitz, wasanii wanaofanya vizuri kwenye bongo flava...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
1. Alizaliwa miaka kadhaa kabla ya uhuru... 2. Kaja dar mwaka 77... 3. Alizaliwa na utangazaji... 4. Alivutiwa na muziki baada ya babake kuupenda muziki... 5. Watangazaji wa sasa hawana...
4 Reactions
74 Replies
13K Views
HAYA SASA MUONEKANO MUPYA WA vicent kigosi hahaha kweli age is just a number!!!!!!!!!!!! http://2.bp.blogspot.com/-ue75dKt0frs/UoZCPcvJ_JI/AAAAAAAAolU/DZ7irZR9VLM/s1600/1.jpg
1 Reactions
134 Replies
11K Views
Staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘ JB’ akiwa na Irene Uwoya. Picha hii haihusiani na fumanizi. LILE sakata la madai kwamba, staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘ JB’...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Hatimaye mwanadada Jacqueline Wolper ameamua kuweka wazi kilichotokea mpaka kuamua kubadili Dini yake ya Uislamu na kurudi kwenye ukristo tena. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii...
0 Reactions
56 Replies
10K Views
List mpya kutoka Forbes inahusisha wasanii waliolipwa pesa nyingi duniani kwa kipindi cha June 2012 hadi June 2013 ambapo pesa hizo zinatokana na mauzo ya album,show(tour) na vitu vingine...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Aah aah dah nilicheka sana wakati nacheki trailer la mkasi ambapo salama alikuwa anamuhoji vannesa mdee,salama katika pilika pilika za kumuuliza swali mdee akaingiza hii, mimi nimesoma...
1 Reactions
54 Replies
14K Views
Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimulia mbali aliyekuwa director wake aliyefahamika kwa jina moja la Chid kuwa ni ufuska uliokubuhu kwa director wake huyo huku akitumia magari...
0 Reactions
5 Replies
38K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…