Wakulu ikiwa weekend inakaribia nimeona si vibaya sana kama tukiwakumbuka wazalendo wenzetu hasa waliokuwa katika sanaa ya muziki waliotangulia mbele za haki. Ni vizuri kuwapa heshima zao kwani...
Former England defender Sol Campbell has left League Two side Notts County by mutual consent after only one game. Executive chairman Peter Trembling told the club website Campbell "could not...
Waigizaji wa kipindi cha Runinga cha Bongo Dar es Salaam kinachorushwa kupitia kituo cha TBC1 wamejikuta wakila za uso katika maonesho yao yaliyofanyika Kahama na Mwanza siku ya Eid Mosi na Pili...
Hi wajameni, nimekuwa najiuliza hii tusker project fame inakuwaje tuanze kwa kuvurunda wakati bongo flavor yetu inakubalika sana hapo jirani. Please assist me to think outside the box for i'm...
Jana (20/09/09) nikiwa naangalia kipindi cha Maisha Plus, MASOUD KIPANYA na Wenzake wakiwa Mkoani Mbeya, walikuwa wakiandika maneno kwenye makaratasi na kuwaonyesha wale vijana wanaoingia kwenye...
Jamani ni lini Waafrica tutaacha kudhalilishwa katika movies? Leo nimebahatika kwenda kuangalia hii movie mpya - District 9. Imekuwa based katika jiji la Johanesburg. Kwa ujumla ni movie nzuri...
Wakuu mi niwatakie week end njema.
Hiki kibao haipiti siku lazima nikisikilize nawaachie hewani maana week end ni ndefu balaa mpaka J4 tutaonana.
Mtu mzima Pepe Kalle namzimia sana...
LOL
Basi kuna mshikaji kani-sms nusu saa iliyopita. Kanistua eti kuna bonge la houseparty jioni hii hapa Dar, lakini kiingilio ID ya mtoni.
Yaani maanake ili uweze kujikita kwenye houseparty...
Kwenye kipindi cha Bongo Star Search kinachorushwa hewani na Runinga ya ITV, jana wale vijana wawili (Msechu na mwenzake anayewakilisha DSM) ambao mmoja wao ndiyo anatarajiwa kvikwa taji la BSS wa...
If you've been watching Nigerian movies, you will understand what this is about..
Enjoy!
24 THINGS WE HAVE LEARNED FROM NOLLYWOOD
1. Every problem you have is spiritual.
2. In every...
- Unajua ni kwa muda mrefu sana sasa, bendi mbili kubwa nchini za marafiki wawili, yaani Twanga ya Papa Msilwa na FM Academia ya Papa Martin Kasyanju, zimekwua zikichuana sana kugombea soko la...
katika vitu vinavyonishangaza ni hii ya mwanamuziki wetu wa bongo fleva AY ambwene yesaya kupambanihswa na jay z na kanye west katika category moja ya tuzo za mtv africa.
huu sasa ni usanii...
mara nyingi waandaaji tuzo za muziki au star search wanashawishi wafuatiliaji kupiga kura mara nyingi wawezavyo ,hivi hii ndio namna bora ya kupata washindi,au ndio kibiashara zaidi kutengeneza...
Rapper Ludacris Gives Away 20 Cars to Drivers in Need
Associated Press
Talk about a one-man stimulus package: Grammy-winning rapper Ludacris has given away 20 cars to people who wrote about...
I think AY deserves to win in that category, though MI is equally good. Shaa competition is tight Gal, First you'll contend with STL then MI. Lets support them by login in to...
By DAVID WILLETTS
in Los Angeles
Published: Today
ACTOR Macaulay Culkin is the mystery dad of Michael Jackson's son Blanket, it was claimed last night.
The Home Alone film star is said to...