Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Kuna kitu kinanitatiza ktk Tv show ya Mnet. Kipind kinaitwa Bachelorette. Kuna kina kaka wanafight kwaajili ya kumpata binti (waoane). Before sikutake hii kitu siriaz lakini juzi kati kuna...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nimekuwa nikihudhuria maonesho na matamasha mengi ambayo yanahusisha muziki wa kizazi kipya (bongo flavor), kuna hii aina ya uimbaji ambayo karibuni kila muimbaji anaitumia na sijui kama ndio...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Fest Africa-Winter Jam
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Maswala ya recession yamewahiti ata hawa waungwana. 1 Jay Z $35 million 2 Sean "Diddy" Combs $30 million 3 Kanye West $25 million 4 50 Cent $20 million 5 Akon $20 million 6 Lil Wayne $18...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imetokea nikakumbana na nyimbo hii baada ya miaka kupita ikanikumbusha wakati ule nipo 20 something, nikiwa na kitoto cha KIDENISH she was appeared like an angel ,naimani tupo wengi ambao hutokea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kuna yeyote jamani anaweza kunisaidia wapi ninapoweza kupata hizi kazi maana nimepita maduka mengi sana na kote hawana .
0 Reactions
0 Replies
3K Views
:confused::confused:Freeman to marry his step-grandaughter? Fri 10 Jul 5:29 PM Enlarge Photo Morgan Freeman is reportedly set to marry his 27-year-old step-granddaughter. The Shawshank...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Let the photo speak for itself, weekend njema.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naamini wana JF mtakubaliana na mimi katika hili, hawa DJ wa redio free Africa sijui hawajasomea mpangilio wa burudani au ni jeuri tu, yaani utasikia usiku saa 4 na kuendelea muda ambao walio...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwa kweli tuache masihala mbilia beli amekwisha mpaka kuifikia kutumbuiza police mess mara Bukoba mwana mama ambaye alikuwa anatingisha barani afrika nakumbuka alipokuja hapa bongo na mzee Tabu...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
YouTube - we are the world Hata kwa wale tuliokuwa hatuna uwezo alituwezesha kutuwekea TV za rangi kila kwenye tawi la ASP na baadhi yetu kutoka mitaa ya karibu tulikuwa tunakushanyika malindi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Peace n' love 2 ol ya sistren & bredren! This is an order from jah and his majesty king of kings,lord of lords conguering of the tribal of judah. H.i.m sellasie i. Its a month of players,hyms to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanafunzi wa chuo cha IFM Beatrice Lukindo jana aliibuka mshindi wa Miss Higher Learning katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, jumla ya warembo kumi na...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
The new fodder for the tourism industry is education and related activities, for it fosters the feeling of love, understanding and goodwill. The role of tourism in education is highlighted by the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inasikitisha kuona gazeti kama Uwazi linachapia pale wanapotoa picha ya Randy Jackson wa American Idols kudhani kuwa ni Randy Jackson mdogo wake hayati Michael Jackson. Randy Jackson wa American...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Ndugu zangu kwa hakika Mrisho Mpoto ni mwanaharakati wa shoka,kwa kupitia usanii Mpoto amejitokeza kati ya wanaharakati wanaoelimisha jamii kwa kupitia sanaa ya muziki.Uimbaji wa kingonjera wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa wapenzi wa music wa salsa special wale tuliokuwa tunasoma cuba ile miaka ya 1980, manaweza kujikumbusha tena...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hivi wapi nitapata lyrics za nyimbo za kiswahili kama Siwema,Kifo by Dr Remmy Ongala,Jojina na zile nyimbo za sikinde pleaseeeee!. xoxo Kelly01
0 Reactions
76 Replies
33K Views
  • Closed
Nimesikia kwamba mwanamuziki maarufu wa kongo , tabu ley amefariki dunia
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Nani anaangalia BET Awards 2009?
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…