Juzi wazee wa masauti walipiga burudani ya kufa mtu huko Ukonga Banana katika ukumbi wa "Wenge Garden Hall". Mcheza shoo wa Akudo akijituma vilivyo ili akonge nyoyo za mashabiki wake...
Katika pitapita nimekumbana na hii dance kutoka Angola ambayo nasikia imeifunika kabisa Kizomba. Kuduro ni dance ambayo ilianza kuchezwa mara baada ya vita na walikuwa wakicheza pamoja. Kwa wale...
Woman fined to tune of $1.9 million for illegal downloads
(CNN) -- A federal jury Thursday found a 32-year-old Minnesota woman guilty of illegally downloading music from the Internet and fined...
Wapenda dezo tukae mkao wa kula. Kuna possibility kwamba kama ukikutwa ktk anga za wenyewe unaweza kupigwa penati ya kulipia up to 150,000 USD per every song you shared it online.
Habari zaidi hapa
Waungwana kuna kitu hapa kinanitatiza inawezekana uelewa wangu ukawa mdogo,hivyo bac ningeomba wana jamii tukaelimishana kidogo kati ya vitu nilivyo taja hapo juu na ni wakati gani vinatumika?thankx
Darren James vividly remembers the 2004 phone call that changed his life. He hopes that by getting his story out, the porn industry will be moved to require condom use to protect the health of its...
Nimekutana na hii harabari toka Global Publishers, baadhi ya wachezaji wa filamu wakiwaponda wasanii wenzao kuwa hawana mvuto wa kucheza filamu.
Mimi nionavyo ni kuwa msanii inategemeana ni...
BIG BROTHER AFRICA 2009
By Jethro
Huu ndio mtazamo wangu, Je wana JF mwasemaje?
Bha Ndugu,
Kwa ufupi tu: Mchakato mzima wa Big brother Africa ndio wakaribia kuanza kwa kuwatafuta watu au...
The Hangover Scores Again in Weekend Box Office Results
June 14, 2009
Warner's The Hangover woke up this morning to a second straight weekend box office win if early estimates pan out...
Katika kuwa kwa extra curicullar activities baada ya kazi na uchovu mwingi nilikuwa naangalia cable-TV na nilipata kuwaona Beyonce Knowles and Alicia Keys. Swali ni Je kati ya hawa wawili nani ni...
WAHENGA walisema 'visima vya kale havifukiwi', bali ni hazina muhimu kwa jamii.
Msemo huo unamaanisha kuwa kuwepo kwa kumbukumbu za kale kunasaidia maendeleo katika jamii, hasa kwa wanajamii...
Siongei mengi katika hili!kichwa cha thread kinazungumza.
Poleni na kazi kwa wiki nzima wakuu wangu,nawatakia mapumziko mema,mzisalimie familia zenu pia!MBARIKIWE SANA
wiki hii ilikuwa ya...
2PAC alikufa na muziki wake wa 'kufokafoka',and so did the 'NOTORIOUS B.I.G'.the current hiphop is a JUST A COMMERCIAL-HIPHOP!it has lost its 'original-hiphop test'.ladha ya hiphop naiona kwa THE...
I must admit kuwa toka hiyo site ya MK Gallaxy itangazwe kwa michuzi, nimekuwa addicted nayo, wana collection nzuri sana ya zilipendwa, kuna nyimbo za Marquiz original, Bima Lee, Nguza Vickings...