surly house/londonground and island riddims present.......
**the much anticipated prime international bash in columbus,oh** **a night of your favourite genres and jams and artists**...
Baada ya wiki nzima kukatika na jana Kikwete kuendelea kuwaumiza vichwa watanzania ni bora Ijumaa hii ujiliwaze kwa kujikumbusha na nyimbo za Zilipendwa karibuni sana.
DDC Mlimani Park...
Not too many Hip-Hop releases last week, only Yung Berg made a charts debut at number 20. His album 'Look What You Made Me' sold 19,150 copies.
Reggaeton artist Daddy Yankee moved 25,502 units of...
What are your favorite movie and song classics?
Songs: Kifo-Dr. Remmy Ongala
Mario-nimemsahau aliyepiga (huu ni bolingo)
Let's get it on-Marvin Gaye
Midnight...
MNENGUAJI maarufu wa Bendi ya FM Academia, Rukia Bruno (Pichani) amefariki leo mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam .Taarifa ya kifo zilipatakana kwa vyombo vya habari...
Angella kuvuliwa mataji yote?!!
Ni baada ya kukiuka mkataba wa kurudisha taji la balozi wa Redds alilotunukiwa katika fainali za kumsaka mrembo wa Tanzania 2008 ndani ya viwanja vya Leaders...
Hii mijamaa imeingiza mshiko....ikiunganisha hela zao zote tunatatua matatizo kadhaa nchini kwetu.
1. Curtis "50 Cent" Jackson
$150 million
50 Cent has come a long way from...
Mahakama kuu kitengo cha Biashara imelizuia kundi maarufu la vichekesho la Ze Comedy na kituo cha televisheni cha EATV kutumia jina la Ze Comedy kwa shughuli za kisanii wakati kesi kuu ikisubiri...
Oh! poor TID jamani, ndo atakaa ndani mwaka mzima. sijui watakuwa wameshamnyoa nywele tayari? hivi huyu jamaa mbona kosa lake hili angekuwa makini asingefungwa? nina maana kama ange hire a lawyer...
What do you guys think jamaa atafanikiwa? Maana BET imekuwa kama black version ya MTV.
Looking to compete against popular cable network Black Entertainment Televsion (BET), hip-hop entrepreneur...
PREZ KICHAKA AKIWA ANAENJOY THE OLYMPICS GAME... JE MR PREZ ALIKUWA AMESHAPATA KIDOGO? LOOKS DRUNK TO ME!!!!
Please note Laura alivyoamua ku-ignore na ku-save
Katika event nyingine, Barbara...
KLH News is bringing you Todays Movie: Species III Enjoy: Just get your pop-corn and cherry coke slush.. get a date (if you are like someone I know get a pillow date)... and enjoy the movie at...
Chris Eubank-British middleweight and light heavyweight boxer who was very cocky and full of himself....
Prince Naseem Hamed-another Brit boxer, very stuck up and flashy...
Bros-Brit singing duo...
Comedian Bernie Mac died early this morning at Northwestern Memorial hospital. The 50 year-old star of The Bernie Mac show was recently hospitalized with a bout of pneumonia.
According to...
BALOZI wa REDDS 2008 Angela Luballa ametamka rasmi leo kwamba ameamua kurudisha Taji hilo la Balozi wa kinywaji cha Redds wa Mwaka 2008 ambalo ni wiki moja tangu avalishwe kwenye mashindano ya...
Balozi wa Redds arudisha taji
MSHIRIKI WA MISS TANZANIA
Angela Luballa
Angela Luballa leo aliwashangaza watu alipoamua kurejesha taji hilo wiki moja tangu avalishwe.
Luballa ambaye pia...
habari zenu member wote poleni kwa majukumu kila siku kuna swali nina nisumbua kichwa changu kuna mtu anajiita alibaba jina hili siyo geni kwa watu wanaoangali DVD za kutoka china ambazo zinabeba...