Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

TAARIFA za kiintelijensia zimebaini kuwa CHADEMA ndio wamesababisha mgomo wa madaktari, mgomo ambao umeendelea kwa siku kadhaa sasa na umehatarisha maisha ya wagonjwa wengi na umesababisha hata...
5 Reactions
82 Replies
18K Views
Kuna nyakati bahari huwa sio nzuri sana na kuna nyakati bahari hutulia. Kama binadamu tunatakiwa kujua nyakati zote hizo. Captain mzuri anajua kucheza na mawimbi na kuongoza meli vizuri bila...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TOFAUTI KATI YA WANAZUONI (INTELLECTUALS)NA WASOMI (INTELLECTS) Mwanazuoni ni nani? Je, kuna tofauti kati ya mwanazuoni(intellectual) na msomi (intellect worker/intelligentsia)? Ndiyo, ipo...
13 Reactions
2 Replies
15K Views
Toka kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, tumeingia kwenye Uchaguzi Mkuu mara nne, 1995, 2000, 2005 na 2010 na katika chaguzi zote hizi hakuna uliokuwa na changamoto na wenye msisimko kama...
6 Reactions
8 Replies
5K Views
ZANZIBAR INAJIBANZA KWA MGONGO WA MUUNGANO MTANGANYIKA ANALIPA KWA KILE ASICHOTUMIA ZIGO LA UENDESHAJI WA SMZ NI LA MTANGANYIKA Sehemu ya I Wanajamvi Katika mambo yasiyozungumzwa au kugusiwa...
8 Reactions
79 Replies
14K Views
Katika mjadala mhimu wa kupata Katiba Mpya ni busara kusikia maoni ya Wachambuzi mbalimbali ili wananchi wapate maamuzi sahihi baada ya kusikia maoni mbalimbali. Huyu mzee simsikii popote hata...
4 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni matumaini yangu nyote ni wazima na wenye Afya tele. Afya ya mwili ni muhimu sana kwa afya ya akili. Binadamu hatoweza kufikiri vizuri kama Afya yake mwili haiko sawa sawa. Kwahiyo ndugu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MAONI KUHUSU KATIBA MPYA Kwa nini mambo yote yawe ya Muungano. Kufuatia mgogoro uliopo baina ya pande mbili za kisiasa kushindwa kufikia muafaka juu ya muundo wa serikali ningependa kusema tatizo...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Mwenyekiti Kikundi kazi serikali za Mitaa kilicho chini ya Taasisi Policy Forum Bwana Hebron Mwakagenda (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu pendekezo uchaguzi serikali za mitaa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni siku nyingine tena tunakutana kujadìli changamoto zinazotukabili kama taifa. Jambo hili linahitaji akili zilizopevuta kutafakari na kujua ni nini sisi kama taifa tunahitaji ili tusonge mbele...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
KELELE ZA UJANA NA MBIO ZA UONGOZI HAWANA MAONO, HAWAJIAMINI, WAMEBAKI KULAMBA MIGUU WAMEVAA NGOZI ZA CHUI, NI WOGA KAMA FISI, NA WASALITI KAMA YUDA Sehemu ya I kati ya 2 Wanaduru Tuliwahi...
7 Reactions
55 Replies
9K Views
Ni muhimu kurudia hii mada mara kwa mara ili iingie akililini mwa watu kuhusu nidhamu katika uongozi na jinsi gani huleta mwelekeo kwa watu unaowaongoza kama wewe mwenyewe kiongozi una nidhamu...
4 Reactions
0 Replies
4K Views
MWAKA 1970, Umoja wa Mataifa (UN) ulipitisha azimio kuzitaka nchi zinazotoa “misaada” ya kimataifa kuongeza misaada hiyo ili ifikie asilimia 0.7 ya mapato ya nchi zao ifikapo 2015. Moja ya nchi...
5 Reactions
5 Replies
4K Views
Nidhamu katika uongozi ni jambo muhimu sana. Bila nidhamu uongozi unakuwa shida na usiokuwa na mwelekeo. Ni muhimu sana kufahamu hili. Ili taifa lolote liendelee viongozi wake lazima wawe na...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Taifa lolote ni zao la maadili hakuna taifa lolote litakalozaliwa na kuwa kubwa pasipo maadili. Viongozi ndio wanaotengeneza jamii, mawazo yao na maamuzi yao yana madhara makubwa kwa jamii...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Wednesday food for thoughts: I often wonder why did Tanzania abandon agriculture as a mode of economy to create wealth and build up its income reserves! If 80% of citizens are in rural areas...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
Uzuri ni kitu kinachopita hakikai katika mwili wa binadamu milele, ni kama maua waridi toka nje yaangalie asubuhi ni mazuri na yenye kuvutia rudi jioni yamenyauka na kupoteza uzuri wake. Hata...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Hoja yangu ni kwamba sikatai mfumo wa serikali tatu ikiwa mazingira yanaruhusu. Tatizo ambalo tunalokabiliana nalo ambalo litafanya mfumo wa serikali tatu au shirikisho kuwa mgumu kufanyika ni...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Sehemu ya 1 kati ya 5. 10 October 2001, kulifanyika muafaka baina ya CCM na CUF, nakutiwa saini na Philip Japhet Mangula, na Seif Sharif Hamad, na kushuhudiwa na Kingunge Ngombale-Mwiru, Ali...
5 Reactions
13 Replies
5K Views
Our God and our father. Creator of all living and non living things. We come to you for your help in these dark hours in Our national life. We need your light. We can not progress without you. You...
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…