Elimu ni msingi kwa taifa lolote lile kuendelea. Maendeleo ya taifa lolote lile yanategemea sana msingi huu. Bila elimu hakuna maendeleo. Kwahiyo ili taifa litoke kutoka katika hatua moja ya...
YATAKAYOJIRI HOTUBA YA JK KESHO
Sehemu ya I
Hali ya taharauki imetanda Dodoma. Wabunge wakitishiwa kwa kamera 13 ndani ya ukumbi na viongozi 4 wa kundi linalompinga Sitta kukiuka taratibu...
Kuongoza na kutawala, ni jukumu la serikali. Kutawala ni kama kulinda, kutotawanya, kukusanya na kutoruhusu kutawanyika.
Kulinda binadamu dhidi ya uharibifu na uovu ni jukumu la serikali...
Wanabodi,
Leo hii baada ya kutafakari kwa kina juu ya swala zima la Katiba mpya likifuatiwa na kile wanachokiita changamoto juu ya Muungano na kero zake kwa wananchi wa pande mbili za Muungano...
Sehemu ya I
Ndugu wana Duru, Tunaomba tuweke rekodi vema kuhusu katiba mpya.
Kuanzia mwanzo hadi sasa msimamo wa duru ni katiba mpya itakayoandikwa na wananchi haitapatikana.
Utaratibu...
Mjadala huu utakuwa na sehemu kuu NNE.
SEHEMU YA KWANZA: Msingi Wa Mkataba Ulikiukwa, Woga Wa CCM Serikali Tatu.
Mchakato wa Katiba Mpya ulitoa fursa pekee kwa CCM kurekebisha kasoro...
Why did Americans want a weak federal government?
Answer,
What were the positive and negative consequences of a weak national government?
First of all, the states did not originally intend to...
1._ Ukweli ni vyema tukautamka hadharani bila ya kujiumauma.
Ndani ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki ni ukweli usiofichika ya kuwa tumechokwa kwa sababu tumekuwa tukipinga kila hatua ambayo...
My wild guess: the three-tier government union structure proposal will be shot down in the Constituent Assembly
Dr Kitila Mkumbo
As in sports, the outcome of politics, and democracy in...
Huu ni uzi maalum wenye lengo la kuelezea na kubadilishana mawazo juu ya maana na umuhimu wa Tanganyika kuelekea kura ya maoni. Tutajadili mengi ikiwa ni pamoja na:
1. Asili ya Tanganyika.
2...
I am impressed by the way Ethiopia has chosen to organize their whole investment strategy.
According to the advisor to the State Minister for Industry, knowing that they are number one in Africa...
HARD TALK:HADITHI YANGU.
''WENZETU WANATUTHAMINI SANA ''.
Na Andrew Nkumbi
MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA TANGU KUJA KWA RAIS WA CHINA NCHINI TANZANIA.
Kwa mujibu wa Wizara ya mambo ya nje na...
Maswali yamebaki bila majibu kwa muda mrefu sasa lakini cha kushangaza ni jinsi taarifa zinavyobadilika kila siku kuhusiana na nini kimetokea kwa ndege hii.
Jambo la kwanza ilisemekana ndege...
Ni wazi matokeo ya uchaguzi mdogo (Ule wa udiwani na sasa wa Jimbo Kalenga)
umeacha maswali mengi sana vichwani mwa wapenda mabadiliko. Whether CHADEMA has gained popularity or not remain unclear...
Elimu ya uzalishaji mali na utoaji huduma ni sehemu ndogo sana ya maarifa lakini maarifa yaliyo makubwa ni jinsi gani watu wetu watakuwa na uwezo wa kuishi kwa pamoja na kujenga mahusiano yaliyo...
STORY FUPI YENYE MAFUNZO....
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI
Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu".
Wote wakalala chini.
HII INAITWA DHANA YA...
Nimekuwa kimya nikisikiliza kila wadau wanapotoa na kujenga hoja zao za ama serikali mbili au serikali tatu; binafsi nakosa mantiki ya nini hasa makundi haya yanachopigania; ila kama wote...
Hoja hii iliyo katika Rasimu ya Pili ya Katiba iliyokabidhiwa kwa Rais Kikwete na Rais Shein na kutetewa ipasavyo na Jaji Warioba inapotoshwa sana. Inaandamwa na propaganda.Mojawapo ni kuwa na...
There has been a serious contention regarding the authenticity of the recently announced 2013 Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) results. While the Government and NECTA...
In Book Six of the Ethics Aristotle says that all knowledge can be classified into three categories: theoretical knowledge, practical knowledge, and productive knowledge. Put simply, these kinds...