Leo nimeenda kumtembelea bi mkubwa ambaye ni wa asili ya kihindi akaniandalia mlo!Kama mnavyojua wenzetu hao chumvi yao ni pilipili!Mara tu baada ya kula huo msosi mara mwili wote ukachemka...
wadau koo yangu inataka maji muda wote, na huzidi nkiwa na mawazo, nmepma kisukari nkakuta sina. wameniambia niende kwa psachytrist. wadau mnsaidie maana usiku silali
Habari za j2 wanaMMU
Kama mada inavyojieleza,nina wiki kadhaa mashine yangu haisimamia mida ya asubuhi
Kwanza nikiri nimekua mpiga nyeto kwa miaka mingi sana almost 19 years nimekua mwanachama...
Tujipongeza kwanza kwa kuwa hewani nawasalimu wana jf wote niliwa mis sana. Turudi kwenye mada Nina mtoto miaka mitano baada ya kumuogesha hivi kalibuni maana nimekuwa mbali na familia. ni...
Wakuu naomba kuuliza ni nini kinasaidia kupiga chafia Mara kwa Mara na hii inapelekea kuwasha kwa macho ,yaani hii inaenda pamoja unapiga chafia sana na macho kuwasha ,vilevile pua huwa zinaziba...
The heart is the engine inside your body that keeps everything operational. In principle, the heart is a muscular pump that maintains oxygen and blood circulation through your lungs and body...
Habari za weekend waungwana,
je kuna ukweli wowote kuwa mwanaume/ wanamke asipofanya mapenzi kwa muda mrefu, siku akifanya atapata chunusi usoni na sehemu za siri? Kwa sehemu za siri zinakuwa...
Natumai kuwa mwaendelea vyema kabisa. Ndg zangu wataalam na madactari wote humu ndani.... Lengo la kuleta uzi huu kwenu nikwamba nina hitaji ushauri ambao utakuwa msaada juu yahili
Juzi...
Wadau tatizo LA stroke limekuwa kama LA kawaida, pressure inakuwa kubwa hadi kupasua mishipa au kusababisha kuvilia damu!!!mama angu kakumbwa na shida hiyo,je kuna dawa ya kuponyesha tatizo...
unaweza kufanya mapenzi na mwanamke aliye na virusi vya ukimwi huku akiwa anatumia dozi na usipate maambukizi yake kama utayafanya haya yafuatayo?
ukamwandaa huku yeye sehemu zake zikiwa tayari...
Habari wakubwa asee marakwanza kwenda chumvini sasa juzi nimeangalia kwenye kinywa changu nimeogopa mno asee sijui nshapata wadudu naombeni dawa kwa wazoefu wa hizi kazi
Habari za mda huu wadau!
Mungu amejalia wife kitumbo kimejaa,sasa changamoto inayonikumba ni haya mabadiliko yake ya kila siku naomba msaada wa mawazo ama njia gani tutumie
1. Kula amekua hataki...
Habari za jioni wataalamu, kama kichwa cha mada kielezavyo mke wangu kajifungua ana miezi mitatu sasa ziwa lake moja upande wa kulia linamuuma mno, kabla ya kujifungua palikuwa na ka uvimbe...
Habari wa jf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina tatizo la ngozi ambalo nimedumu nalo kwa muda wa miaka 6 mpaka hivi sasa, nilitokewa na vipele ndani ya tabaka la ngozi ya juu vipele...
Habari zenu wana jukwaa.kama inavyofahamika JF DOCTOR ni moja ya majukwaa ambayo watu wengi wenye matatizo ya kiafya uwasilisha matatizo yao wakitaraji kupata msaada wa ushauri pamoja na maelekezo...
Habari jf doctors hivi karibuni nimekuwa nikisumbuliwa na kiungulia kwenye tumbo katikati ya kifua na maumivu kwa mbali sehem ya mbavu ya kulia karibu na tumbo kama dakika mbili hadi tano, pamoja...