Habari. Naomba kujua kama naweza pata matibabu kwa dawa asili kwa uvimbe wa kwenye koo Polyp . Kwani hadi sasa nishafanyiwa operesheni mbili na uvimbe umerudi tena.
KANSA ya kizazi husababishwa na virus vijulikanavyo Kama human papilloma.
Hivi virus huathiri viumbe vilivyo kwenye jamii ya wanyama na kila aina ya virusi vina aina maalum ya mnyama...
Mgonjwa yoyote aliyeko Kitandani kabla ya Kufa husema sana na mara kwa mara haya maneno yafuatayo hivyo kama ukiyasikia jua kuwa maandalizi ya Msiba yanatakiwa yawe ya haraka sana na taratibu...
Tangu tarehe 26 nimeanza kuwa na dalili zifuatazo;
.Kuumwa kichwa
.Kukosa hamu ya kula
.Homa kali natetemeka sana
.Nakuwa nahisi mishipa ya upande wa kushoto kwenye moyo inakaza japo kwa mbali...
Nina kama miaka 10 tangu nijiunge kwenye chama cha (CHAPUTA), nimeshajaribu sana kujitoa lakini nashindwa.
Hii hali ya kujichua naona inaanza kuniletea shida, nikiwa ndani ya uwanja wa 6/6 mpenzi...
Habari wana jf doctor.
Bila kupoteza muda Ningependa kwenda moja Kwa moja kueleza juu ya tatizo linalonisumbua kwa muda mrefu sasa
Nina tatizo la kutokwa na vidonda vya mdomo na katika ulimi...
Habari wapendwa, nilikuwa na tatizo la Apendex, na Mungu mkubwa nimefanyiwa operation hii wiki iliyopita,
Ila Baada ya kuchomwa ile sindano ya usingizi, Anesthesia baada ya kuamka nikawa naona...
Je, kupata huduma nzuri za afya kunamaanisha kwenda kliniki kila juma? La, si lazima. Shirika la Afya Ulimwenguni liligundua kwamba wanawake walioenda kliniki mara nne tu wakati wa ujauzito...
Habari wakuu,
Kuna mtu ana matatizo ya high cholestral yanayosababishwa na kula mafuta ya viwandani
swali langu je ni mafuta aina gani ambayo anaweza kutumia ambayo hayatamletea madhara? na hapo...
Habari wana JF.
Naombeni msaada wa mawazo ama tiba. Jinsia yangu ni ME, umri 30.
Sentimita moja au mbili hivi kutoka kitovuni (upande wa kuelekea juu) kuna kauvimbe kanakuwa kanatokeza na...
"Nanukuu
Unaweza kuishi mpaka miaka mia kwa kutumia mdalasini na asali. Matayarisho vijiko 4 vikubwa vya mdalasini changanya kwenye maji vikombe 3 koroga kwa dakika 10 kunywa robo kikombe mara 3...
Habari za asbuhi wapendwa, kama mada ilivyo hapo juu. Ninasafari kikazi nje ya mkoa ambay itanichukua zaidi ya cku kumi ambapo ndani ya hizo siku trhe yangu ya clinc itatimia na kupita kama...
Mtoto wa miezi 4 analia sana usiku amechoma sindano wiki 2 zimeisha tumempa amoxilin wapi nasasa tumempa sefalexin kikohozi bado kinaendelea
Juu ya yote Analia sana usiku kwa kushtuka kila baada...
Habari wanajamvi,
Nilipatwa na maumivu ya tumbo na wiki iliyopita nilienda moja ya hospitali zilizopo hapa Dar. Baada ya vipimo nikagundulika nina appendicitis.
Baada ya kugundulika, daktari...