Kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani?
Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika.
Bado ninasita...
Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official...
Wiki chache zilizopita niliwaletea historia ya fedha ya sarafu hapa nchini kwetu nikaahidi kumalizia na historia ya noti. Kwa bahati mbaya majukumu yamenizidi nikashindwa kupata nafasi ya...
Hii ni habari nzito iliyokuwa inasubiriwa...
Kwa kuwa tumekuwa na matatizo sana kwenye mikataba, sijui na mradi huu utasalimika!
Ni kampuni ile ile walioshinda tenda zamani wakanyimwa ikawa...
Nimesikia kuwa hivi karibuni, nchi zote za Afrika ya Mashariki zitatumia sarafu moja. Nimekuwa natafiti pole pole kutafuta picha za pesa tulizowahi kutumia hapa kwetu, nikaona nizitundike hapa...
Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo...
Habari zenu wakuu,
Leo nataka tujifunze yaliyotokea wakati wa kuzaliwa kwa Bikira Maria pamoja na malezi yake hadi pale alipotokewa na malaika na kujulishwa kuhusu kumzaa Yesu.
SURA YA 1
1 Uzazi...
🗣️ Jitayarishe na Tukio la Ajabu la kupatwa kwa Mwezi Mwaka huu 2025! Ambapo Mwezi utaweza kubadilika na kuwa na Rangi nyekundu kama damu Duniani.
Mwezi huu Machi kutakua na matukio mawili...
Habarini,
Kuna wimbi kubwa la WAAFRIKA wasiojitambua katika kutofautisha imani na ukweli kwenye maswala ya uumbaji hata baada ya kuwa wamesoma na kuelimika pasipo kutambua kuwa athari kubwa...
Luteni Kanali Vladimir Putin: Afisa muandamizi wa KGB Ujerumani Mashariki na mfadhili wa makundi ya kigaidi Middle East (PFLP, Hezbollah, Hamas)
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa...
Natumai mko salama.
Kama kichwa cha habari kinavyosema kwamba dunia ni uwanja wa vita za hatima kwahiyo kila mtu ambae yuko hapa duniani anapaswa kujua kwamba yuko vitani na swala la kushinda au...
Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za Ujamaa kwa wanafunzi kutoka nchi masikini za Dunia ya Tatu.
UTANGULIZI
Wakati wa kipindi cha vita...
It has become clear from the literature of psychology in general and therapeutic psychology in particular that certain events in anyone's memory must occupy a central position and have a...
UTANGULIZI
Tunaishi hapa duniani, kuna siri nyingi zipo na wale wanaoweza kuzifahamu wanapata kujua mambo ya spirituality. Ni ukweli usiopingika kuwa pamoja na Sayansi kuleta mabadiliko makubwa...
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi...
Habari hii inaangazia nadharia zisizo za kawaida zinazozungumzia mada kama vile ulimwengu wa kuiga, ulimwengu pamoja, safari kwa wakati, na ulimwengu wa pili. Zinachochea mawazo na kutoa mtazamo...
Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers".
"Powers" ndicho kitu...
JAMII 2 ZA VIUMBE WENYE AKILI ULIMWENGUNI-Wazazi wa kale wa ulimwengu mzima.
Mungu ni Roho.
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi, akaumba mazingira yote yanayohitajika ili kuhifadhi uhai...
Mimi Ni Nani,Ni siri nzito na fumbo Kubwa
Yote yako Chini,Chini ya Bendera.Wapi?
Ebu kuta unajisoeza kwanza na NATURAL MYSTIC-BOB MARLEY Alafu tukapakue(Meza ya Coco the Rasta-alpha...
"The 7th Planet, Mercury Rising" ni kitabu kilichoandikwa na Zacharia Sitchin, mtaalamu maarufu wa nadharia za kale na ufasiri wa maandiko ya Mesopotamia. Sitchin alijulikana kwa kujikita katika...
Ninauweka wakfu uzi huu kwaajili ya ku-share mambo yanayohusiana na uvumbuzi, sayansi, teknolojia, na nature
leo naanza na hii
Sungura wa California wameanza kula nyama: utafiti mpya unaonyesha...
7 Mysterious Discoveries That Left Even Archaeologists Baffled
Source: ≡ 7 Mysterious Discoveries That Left Even Archaeologists Baffled ➤ Brain Berries
Archaeologists are not always faced with...
MAMBO YA KUZINGATIA
Usiruhusu hasira ikuendeshe. Kasirika lakini acha iende.
Huhitaji watu au vitu kuwa na furaha. vinaongeza tu furaha yako.
Watu ambao hawakupendi wanakupa...
Mates
Inawezekana hua unajiuliza kwanini labda wachawi/waganga hua wanaweza kumpa utajiri mtu lakini wao wanabaki kwenye umaskini wa hali ya juu huku wateja wao wakineemeka na mali zao. Hawa watu...
Kila unapopiga punyeto unazidisha idadi ya pepo wa chafu ndani yako.
Moja ya roho chafu inayojulikana zaidi inaitwa Leviathan , na huyu huwa ina waingia wanaume/wanawake. Kwa wapiga punyeto kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.