Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

  • Sticky
Kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita...
59 Reactions
1K Replies
501K Views
  • Sticky
Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official...
68 Reactions
4K Replies
826K Views
  • Sticky
Wiki chache zilizopita niliwaletea historia ya fedha ya sarafu hapa nchini kwetu nikaahidi kumalizia na historia ya noti. Kwa bahati mbaya majukumu yamenizidi nikashindwa kupata nafasi ya...
40 Reactions
221 Replies
233K Views
  • Sticky
Hii ni habari nzito iliyokuwa inasubiriwa... Kwa kuwa tumekuwa na matatizo sana kwenye mikataba, sijui na mradi huu utasalimika! Ni kampuni ile ile walioshinda tenda zamani wakanyimwa ikawa...
3 Reactions
2K Replies
334K Views
  • Sticky
Nimesikia kuwa hivi karibuni, nchi zote za Afrika ya Mashariki zitatumia sarafu moja. Nimekuwa natafiti pole pole kutafuta picha za pesa tulizowahi kutumia hapa kwetu, nikaona nizitundike hapa...
35 Reactions
112 Replies
136K Views
Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo...
1 Reactions
5 Replies
492 Views
Habari zenu wakuu, Leo nataka tujifunze yaliyotokea wakati wa kuzaliwa kwa Bikira Maria pamoja na malezi yake hadi pale alipotokewa na malaika na kujulishwa kuhusu kumzaa Yesu. SURA YA 1 1 Uzazi...
1 Reactions
10 Replies
142 Views
🗣️ Jitayarishe na Tukio la Ajabu la kupatwa kwa Mwezi Mwaka huu 2025! Ambapo Mwezi utaweza kubadilika na kuwa na Rangi nyekundu kama damu Duniani. Mwezi huu Machi kutakua na matukio mawili...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Habarini, Kuna wimbi kubwa la WAAFRIKA wasiojitambua katika kutofautisha imani na ukweli kwenye maswala ya uumbaji hata baada ya kuwa wamesoma na kuelimika pasipo kutambua kuwa athari kubwa...
0 Reactions
8 Replies
143 Views
Luteni Kanali Vladimir Putin: Afisa muandamizi wa KGB Ujerumani Mashariki na mfadhili wa makundi ya kigaidi Middle East (PFLP, Hezbollah, Hamas) Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa...
18 Reactions
128 Replies
21K Views
Natumai mko salama. Kama kichwa cha habari kinavyosema kwamba dunia ni uwanja wa vita za hatima kwahiyo kila mtu ambae yuko hapa duniani anapaswa kujua kwamba yuko vitani na swala la kushinda au...
29 Reactions
162 Replies
9K Views
Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za Ujamaa kwa wanafunzi kutoka nchi masikini za Dunia ya Tatu. UTANGULIZI Wakati wa kipindi cha vita...
23 Reactions
185 Replies
40K Views
It has become clear from the literature of psychology in general and therapeutic psychology in particular that certain events in anyone's memory must occupy a central position and have a...
3 Reactions
0 Replies
31 Views
UTANGULIZI Tunaishi hapa duniani, kuna siri nyingi zipo na wale wanaoweza kuzifahamu wanapata kujua mambo ya spirituality. Ni ukweli usiopingika kuwa pamoja na Sayansi kuleta mabadiliko makubwa...
15 Reactions
50 Replies
7K Views
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike Baada ya Uchaguzi...
224 Reactions
11K Replies
3M Views
Habari hii inaangazia nadharia zisizo za kawaida zinazozungumzia mada kama vile ulimwengu wa kuiga, ulimwengu pamoja, safari kwa wakati, na ulimwengu wa pili. Zinachochea mawazo na kutoa mtazamo...
2 Reactions
8 Replies
325 Views
Wanabodi, Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers". "Powers" ndicho kitu...
184 Reactions
2K Replies
624K Views
JAMII 2 ZA VIUMBE WENYE AKILI ULIMWENGUNI-Wazazi wa kale wa ulimwengu mzima. Mungu ni Roho. Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi, akaumba mazingira yote yanayohitajika ili kuhifadhi uhai...
26 Reactions
258 Replies
64K Views
Mimi Ni Nani,Ni siri nzito na fumbo Kubwa Yote yako Chini,Chini ya Bendera.Wapi? Ebu kuta unajisoeza kwanza na NATURAL MYSTIC-BOB MARLEY Alafu tukapakue(Meza ya Coco the Rasta-alpha...
9 Reactions
74 Replies
15K Views
"The 7th Planet, Mercury Rising" ni kitabu kilichoandikwa na Zacharia Sitchin, mtaalamu maarufu wa nadharia za kale na ufasiri wa maandiko ya Mesopotamia. Sitchin alijulikana kwa kujikita katika...
3 Reactions
20 Replies
547 Views
Ninauweka wakfu uzi huu kwaajili ya ku-share mambo yanayohusiana na uvumbuzi, sayansi, teknolojia, na nature leo naanza na hii Sungura wa California wameanza kula nyama: utafiti mpya unaonyesha...
5 Reactions
41 Replies
654 Views
7 Mysterious Discoveries That Left Even Archaeologists Baffled Source: ≡ 7 Mysterious Discoveries That Left Even Archaeologists Baffled ➤ Brain Berries Archaeologists are not always faced with...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
MAMBO YA KUZINGATIA Usiruhusu hasira ikuendeshe. Kasirika lakini acha iende. Huhitaji watu au vitu kuwa na furaha. vinaongeza tu furaha yako. Watu ambao hawakupendi wanakupa...
4 Reactions
1 Replies
152 Views
Mates Inawezekana hua unajiuliza kwanini labda wachawi/waganga hua wanaweza kumpa utajiri mtu lakini wao wanabaki kwenye umaskini wa hali ya juu huku wateja wao wakineemeka na mali zao. Hawa watu...
49 Reactions
199 Replies
70K Views
Kila unapopiga punyeto unazidisha idadi ya pepo wa chafu ndani yako. Moja ya roho chafu inayojulikana zaidi inaitwa Leviathan , na huyu huwa ina waingia wanaume/wanawake. Kwa wapiga punyeto kama...
19 Reactions
110 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…