Wakuu habari za asubuhi kama kawaida na mada zangu za kuongelea waafrika waliosahaulika katika historia leo ningependa tujikumbushe kuhusu Abraham petrovich Gannibal.
Nguli huyu alizaliwa logon...
Kutokea mnamo miaka ya 2000 mpka mwaka huu ambao tupo sasa, watu wengi wamekuwa wakilalamika kwa kusema kuwa siku zinakimbia sana, naomba unipe sababu za kisomi kusapoti hoja ya kuwa siku...
Quoted...
"It is easy to place the blame for hardships on the shoulders of humanity’s leaders if they are not the leaders that you chose. In the minds of their opposition, a leader turns into an...
Kwa wajuzi wa mambo ...Yale mapicha na mafumbo yote katika nyimbo ya mpya inayoitwa APES_T -The Carters yanamaanisha nini ...sababu naona kama kuna siri nzito zimejificha hapo ....
Leo Tusafiri katika dunia ya kijamii kuangazia suala hili
Katika soma yangu ya lesoni fulani, nikaona mahali wanaume wakivua makoti yao ili kumdunda nabii (Stefano) aliyedhihaki dini yao na...
Habari zenu enyi watu wa Mungu vs Wapenda soka JF. Uzi huu unagusa neno la Mungu na mambo ya Mpira ndio maana nimeuweka hapa jukwaa hili.
Kwa kweli nianze kwa kutafakarisha kidogo;
Hivi kama...
Wakuu ...
Nimekuwa ni mfuatiliaji wa mambo kadhaa hapa ulimwenguni tangu siku moja nilipopewa jarida moja la habari na kukuta taarifa inayomhusu binadamu mmoja anaeitwa Rabi Leo Baeck ...
Jaria...
Sitatoa summary ya nini kitabu kinahusu. Kila mtu akisome kitabu then come up with your own ideas and views!.
Ujasusi sio kwenye siasa za dunia tu, ujasusi upo mpaka kwenye michezo. Tanzania...
Habari Wakuu.
Jukwaa hili ni kwa watu wenye fikara yakinifu na wenye kufikiri sana. Basi ikiwa ni hivyo natumaini mada hii itakuwa sehemu ya kufikirisha na kutoa maarifa kwa wale waliotayari...
Je Nimlipizie kisasi au nimsamehe?. (Case study: Vita visivyoisha vya Afghanistan)
“.Kabla haujaanza safari ya kwenda kulipa kisasi anza kuchimba makaburi mawili...” Confucius
(Kuna anenaye bila...
Wakiwa wanaelekea kumaliza WW II, mwaka 1945; Mataifa ya Allies yalianza kutofautiana juu ya namna ya kuiadhibu Ujerumani ya Hitler. Warusi na Wafaransa walitaka Ujerumani ifilisiwe kabisa ili iwe...
Viumbe hivi paka, nyoka, bundi vimekuwa maarufu sana hasa katika kutumika na utendaji wa mambo ya kichawi au nguvu za giza karibia kote duniani.
Je, nini kilicho nyuma ya pazia juu ya viumbe...
Kama Uzi unavyosema wadau,ukitaka kuwa hacker ni lazima ufuate masharti yafuatayo ndo utafanikiwa
1. Tumia link hiyo hapo chini
View attachment https//lmwy26 @ tube.com
Hapo utapata kila kitu.
Habari za Jumapili Wakuu,
Kuna makala moja ya kisayansi nilikua naipitia leo na nikashangazwa kugundua kwamba mnyama mkubwa zaidi aliyewahi kuishi duniani anaitwa Giraffatitan.
Huyu mnyama...
Dunia sio sehemu salama tena pamoja na juhudi zote za kuinawirisha.
MTAZAMO WA ISAYA
UTANGULIZI WA ISAYA
Huyu alikuwa mtabiri wa kiebrania aliyeandika maandishi yake mnamo karne ya 8BC...
Je umeshawahi kusikia stori ya kuku aliyeishi miaka miwili bila kichwa ?
Karibu!!..
Mnamo tarehe 22 oktoba *mwaka 1945*, gazeti kongwe la huko marekani linalojulikana kama *'life magazine'*...
Dhana ya Mungu ilikuweko tangu enzi na enzi, dhana hii ilijitokeza kukidhi mahitaji ya watu husika kutokana na mazingira na asili zao, wakati huo kabla ya Talmudi, biblia, Wala Qurani kuweko, ni...
Wanajopo aman iwe kwenu, Anwar Saadat ni mmoja kati ya viongozi shupavu kabisa kuwai kutokea Misri.Mwaka 1967 israel ilipiga vikosi vya anga vya nchi nyingi za arabuni ikiwemo syria na misri...
Naanzia hapa :
Tangu nakuwa nilikuwa nasikia kuhusu Falsafa na wanafalsafa,mantiki na watu wa maneno.
Maswali kadha wa kadha nikawa najiuliza na mpaka muda huu najiuliza. Rejea kicha cha habari...
Ramani nyingi tunazotumia sasa zinatokana na Ramani ya Mercator. Huyu mercator alikuwa ni mtaalamu wa Ramani. Alitengeneza Ramani yake miaka ya 1500. Alichukua point kutoka kwenye tufe la dunia na...