Kuna tetesi za kiitelejensia zimedakwa sehemu,kuwa kwenye hii taasisi nyeti kuna uwekano wa kufukuzwa watu zaidi ya 100.Inasemekana watu hao walitenda kosa moja linalofanana la miaka mingi zaidi...
Nilikuwa sijawahi kukutana na atheists wakitanzania wazuri katika mada kiasi nilichokiona humu, mimi siamini katika uwepo wa mungu naaiamini saaana sayansi kwani imenifungua akili kuujua...
Habari Ndugu zangu,
Naweka hii mada kuendeleza mjadala wa Science ya roho Ntaeleza kwa Ufupi maana ya Roho.
Roho ni kitu kisichoonekana ila kipo Ndani yetu .
Roho ina nguvu sana na matokeo...
Jamani naombakujulishwa, hivi huyu mwekezaji wa kitalii anaejiita Mwiba HoldingsLimited aliemhonga mkuu wa wilayaya Meatu gari lenye namba T 147 ASX ni mzawa au ni mwekezaji kutoka nje...
Wanajamvi, Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa nafasi hii aliyonipa ya uhai na afya tele kuweza kuleta swali hili kwenu.
Swali langu haliongelei kama inawezekana kila mtu akawa tajiri...
If this story is true, something must be done to protect our national interest. Truth be told, these (Kenyans) are same people who have been advocating for integration of our tourism industries in...
Even though we love to add some plants to our home whether for decoration or some medical needs, we need to be more careful about are choices of the plants. Some plants can be hazardous because of...
Habari zenu wakuu!! leo napenda tushare wazo (theory) inayoelezea sababu za kuwepo na utofauti wa kupendwa na wazazi at defferent level of loveness.
kwanza kabisa "most human being are born...
Hii ni tafakuri yangu;
Awali ilikua dini ya Roma ama Roman baadae ikasambaa duniani kote (catholic) na ikawa Roman Catholic.
Martin Luther alikua na mapingamizi 95 dhidi ya dini ya Roma wakati...
Ukweli ni kwamba akili ni uhuru kutoka kwenye vifungo vya ujinga na imani za uongo.
Nilikuwa nikisikia hadithi nyingi utotoni kuhusu wanga na majini na wachawi wengi tu. Kama umekulia movie za wa...
Kuna gari T.435 AXE Toyota Rav4. Gari hii inatumiwa na maafisa wa uhamiaji kupita kila eneo walipo wageni hususani wenye asili ya Asia wanaoishi na kufanya kazi nchini kinyume cha sheria...
Maslow's Hierarchy of Needs
Maslow wanted to understand what motivates people. He believed that people possess a set of motivation systems unrelated to rewards or unconscious desires.
Maslow...
Wadau tu wazima wa siha njema.
Eti kati ya Akili na Bahati kipi cha kwanza?
-Akili ni nini?
-Bahat ni nini?
Akili na Bahati vina umuhimu gani katika maisha ya kila siku?
•Kwa mfano:Mimi...
Huyu ndugu ni mtumishi wa umma.
Baadhi ya maamuzi afanyayo yamejikita kwenye hisia na fanatism kwa chama tawala badala ya misingi ya kisheria.
Ni wajibu, na haki yetu kumdadavua huyu ndugu...
Wana JF,
Hivi mmewahi kusikia habari yoyote kuhusu Teolojia ya Maendeleo? Kama bado, hauko peke yako. Wengi bado. Lakini kwa leo, pokea andiko la Mwanateolojia mmoja Mtanzania ukalipitie. Anaitwa...
Wakuu,
Tunatambua kuwa ndege aina ya roketi hukaa katika vinu vya kurukia zikiwa zimetazama kuelekea juu, vichwa vikiwa juu na anapochomoka kwenda anga za mbali huondoka kwa staili hiyo, sasa...
Nimesikiliza watu wengi mtu akifa wanasema "Mungu amepanga". Uongo huu umepita kizazi hata kizazi ili tufarijike katiba misiba.
Ukweli ni huu, Mungu hapangi kifo cha mtu chini ya miaka 70. Mtu...
Habari Wana Jamvi?
Hivi Kwanini Paka Dume Wana Tabia Ya Kupotea? Na Je Wakipotea Huwa Wana Elekea Wapi??
Kuna Uhusiano Gani Uliopo Kati Ya Paka Dume Na Imani Za Kishilikina?
KUFUTA CHALE ZA WANGA
kwakweli ukiongelea juu ya chale za wanga,jua kwamba kuna watu watapata shida kukuelewa, lakini ukweli chale za wanga ni aina ya MIHURI ambayo huwa anawekwa mtu usoni na...