"There are basically four questions that are raised in life. The question of origin, meaning, morality and destiny. When you look at those particular questions, and try to answer them in terms of...
Tulianza na samaki wa magufuli, kesi ikaenda mahakamani, wachina kwa ushawishi wao kesi ikatupiliwa mbali na fidia wakadai pia. Sasa leo wametupa meli mbili za kivita ili tulinde pwani zetu...
Husika na kichwa cha habari Hapo juu, eti wana jf imezoeleka Kwa kila binadamu ni jambo la kawaida, akiwa anaangalia kitu ama kuongea na mtu ni lazima afunge macho na kufungua, japo hutokea Kwa...
Historia ndiyo Darubini kali iliyomwibua mmoja wa Wanafalsafa wakubwa Ugiriki, ambaye anaweza kutwambia nini maana ya Ukweli?
Aristotle wa Athens aliyeishi kati ya mwaka 384 hadi 322 BC...
Na. M. M. Mwanakijiji
Tunajua sana. Tunajua hata mambo mengine ambayo wanadhania hatujui; tunajua hata yale ambayo wao wanasema ni ya 'siri' au yaliyopigwa mihuri ile myekundi ya "Siri Kubwa"...
Hello wadau; Binafsi napenda kujisomea sana. Naomba yeyote aliye na current textbooks (softcopy) ya mambo ya usalama wa taifa aweke hapa ili anayependa download. Namaanishi vitabu vyenye ABC za...
Kwanini mtu akiwa na hasira anapiga kelele.?
Hata akiwa na furaha sana nako anapiga kelele.?
Ina maana kinacho shughulika na hasira ndo kinashuhulika na furaha.?
Cc Rakims
Mzizi mkavu
Pasco...
Zeutamu:
1. Wengi walilalamika kuwa zeutamu inawadhalilisha na wakataka ifungwe - hakuna aliyerespond.
2. Wengi walilalamika kuwa zeutamu imevunja ndoa zao na mahusiano na wapenzi wao na...
Tanzania kwa mara nyingine tena inashuhudia tukio la pili la kigaidi ambalo limevuta hisia kutoka jamii mbalimbali za kimataifa.ukiacha tukio la kulipuliwa kwa ubalozi wa marekani utaona tukio la...
Watu la harakati ya kusaka maarifa nimekutana na hii kutoka kwa Dr Ben Carson. Daktari bingwa duniani wa mambo yahusuyo ubongo.
Kweli 1: hatuwezi kuoverload ubongo wetu.
Kweli2:ubongo wetu...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tz Tsh. 1850 ilinunua 1 USD, hii ilikuwa mwaka jana tu! Lakini wiki hii Tsh 1598 imenunua 1 USD. Kwa haraka ninaona kwamba Tsh imepata awheni haraka kuliko...
wana JF,
Katika tafutatafuta yangu maarifa katika mtaandao, nilikutana na hiki kitu nikaaona si vibaya kuwasilisha na kujadili. mengi yanayotokea duniani kwa sasa yanaweza kujadiliwa kwa kina...
Huyu mwanamke inasemekana kajificha Tanzania
Widows lair is found
7/7 wife 'held at villa... but bent cop let her go'
EXCLUSIVE
by NEIL SYSON in Mombasa
Published: Today at 02:47...
Ufikapo kwenye geti la kuingilia mlimani city kama una gari unapewa kadi na wale askari geti wa OMEGA NITRO. Kadi hiyo nyuma imeandikwa "Omega Nitro (T) and mlimani holdings accept no liability...
Senior employees of most institutions in Tanzania (particularly state or semi-state owned) are paid the so-called "sitting allowances" when they sit on committee or managerial meetings. The...
Shakespeares writings have always been a psychologists goldmine, from the stormy breakdowns of King Leer to the questionable insanity of Hamlet and his underlying Oedipal Complex, The Bard was a...
Habarini wanaJF
Leo ninataka kutoa mada yangu kuhusu vijana (bado hawajaanza kujitegemea) hususani ambao hutegemea urithi kutoka kwa wazazi wao. Nimekuwa nikiona baadhi yao kutokuwa makini na...
Kenya wamekufa watu 150 ambao hawana hatia na kuna watu wanasema kumuua kafiri sio dhambi. Je ni Mungu ndio anasema hivyo au watu wanajitungia na ilikuweje mungu aliumba kafiri, kwanini asiwe...