Nimetoa angalizo hapo maana hutashindwa kuniuliza MUNGU ni nani. Napitia bible kila siku, na sijapata maana ya mti wa katikati ambao ADAM na HAWA walikatazwa kula. Je ni mti gani maana nikijenga...
Je, unakijua kipaji au vipaji vilivyopo ndani yako?
Moja ya swali ambalo watu wengi huwa wanauliza ni jinsi ya kugundua wao wana vipaji gani.Wakati wa utoto unaweza kuwa ulionesha vipaji vyako...
Habari ndugu zangu. Hii ni elimu ambayo ningependa kushare kwa watu tofauti na kwa wengine ambao wanaifahamu. Ni elimu ambayo huwezi kuipata mashuleni bali kupitia ujuzi wa walioweza kufanya...
Naombeni kujua kama mwezi (moon) unakua na sehemu maalumu yakutokea, mfano jua linatoka mashariki na kuchwea magharibi. Vipi kuhusiana na mwezi, je, kuna mwelekeo wowote?
Naitwa japhethy, kunasiku nilkuwa naota juwa katika mji mmoja wa Spain unaitwa Bercelona, cha ajabu nilipokuwa naliangalia juwa kikatoka kitu kwenye juwa na kunipiga katoka paji langu la uso...
Habari zenu wadau,
Kama tunavyofahamu maji ni sehemu kubwa ya sayari ambayo tunayoishi. Je, naomba tufahamishane kama maji tunayotumia ni yale yale tokea Dunia inaumbwa, au kuna maji mengine...
Greetings… (Nitaandika kwa English sababu ya urahisi wa maneno ya Kingereza)
So it is like this, let us put God's presence and absence debate apart first of all, I'll be referring to the...
Having grown up in a strongly catholic family, I have had to, and still do, endure long sermons and lectures about how god creates life, and maintains it by imparting inherent morals and ethical...
Eavesdropping is secretly listening to the private conversation of others without their consent, as defined by Black's Law Dictionary.
US and UK spies hacked SIM card manufacturer to steal codes...
IMEBAINIKA! Mapambano na wahalifu wanaosadikiwa ni magaidi kwenye Kitongoji cha Amboni jijini Tanga, yaliingia sura nyingine baada ya wakazi wa kitongoji hicho kuvujisha siri tano...
1. Wewe Oluoch Ezekia na msajili wa vyama vya wafanyakazi mama Uiso mnahujumu chama cha CWT.
2. Umemwajiri Godwin Monyo ambaye ni ndugu wa msajili (mama Uiso) kuwa mtaalamu wa mifumo ya kompyuta...
Sijui wangapi wamemsikiliza Dr. David Peter Beter. Katika audio letter no. 45,topic no. 2.
Anasema Jimmy Carter aliuawa 22 April 1978, He was replaced by a robotoid. Sikliza audio no 46 na 47...
A recent medical study, published by Dr. Amanda Black, has discovered a very surprising and controversial cure for AIDS. Since the 1980's, doctors and scientists worldwide have sought a cure for...
Spies lead the way in Big Powers' second scramble for Africa
In Summary
A South African assessment of its security apparatus revealed that more than 140 foreign spies operate in the country...