Kuna jambo nimeona mtu anasumbuliwa na mazingira ya kiintelijensia anafuatwa kila aendako na kumwagiwa madawa kwa siri. Anasema anaonja kabisa na kuhisi kumwagiwa bila yeye kuwaona.
Kila nguvu...
Date: 19 October, 1986
Samora Machel
On 19 October 1986, the Mozambique President, Samora Machel and thirty-three other passengers, died when their Tupolev 134 plane crashed into the...
-- Kilichojificha nyuma ya pazia katika hili: Hoteli nyingi zenye hadhi ya kitalii jijini Nairobi zinamilikiwa na Kampuni za KIjerumani na Kiisrael sasa wegeni wengi wanafikia hoteli hizo...
Nimeangalia yule aliyejiita gaidi wa bongo rangi ya nguo ni km nyeusi na wale wachinjaji wa ISIS ni km nyeusi pia na lile likitambaa lao mh!! Hii haina maana yoyote? Wenye tetesi waweke hapa.
Wadau ningependa kujua kuhusu malengo hasa ya hivi vikundi vya kigaidi. Vikundi vingi mfano Boko haram, ISIS na Alshabab vinadai kuwa lengolao kuu ni jihad na kusimamisha dola ya kiislamu.
Hata...
Ndugu yangu alifariki baada ya kusumbuliwa na malaria na shinikizo la damu kwa muda mfupi. Daktari alithibitisha kuwa amefariki dunia na akaandika death certificate. Lakini cha kushangaza, wakati...
Sina access na jukwaa la dini sasa nmeona nitupie huku kwenye Intelligence.
Kuna some parts hua zinanivunja imani muda mwingine nikisoma kwenye bible which is actually a bad thing, sasa leo hili...
Sunday, June 5, 2011
Mada yangu ya leo: Umaskini mbaya
Mojawapo ya habari ambazo zimeandikwa kwa kina sana kwenye kipindi cha hivi karibuni ni nia ya Serikali ya kujenga Barabara ya...
1/2 Heller, fedha iliyotumika Tanganyika (Germany East Africa) wakati wa utawala wa Mjerumani. Neno hela linalotumika sasa limetokana na Heller. Pia ilikuwepo 1 Heller na 5 Heller.
HATIMAYE kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti hili kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita...
Habari wana JF?
Wiki moja iliyopita nilikuwa Moshi, nilikutana na mama amabaye alikuwa jirani yetu miaka ya 80 hadi 90 mwishoni, tulipiga sana story na akanikumbusha tukio la kuonekana Bikira...
Prayer is a mostly religious act, to which is done on an individual basis or group basis between persons, that is believed to stimulate connection and communication between a person and the...
Mwaka 1994 kituo cha utafiti cha Wright lab ambacho kiko chini ya jeshi la anga la Marekani kiliomba dola milioni 7.5 kufanya utafiti wa kutengeneza bomu la usenge!
Ambalo lingewafanya wanajeshi...
Kuna mambo yanatokea huku duniani na pia tunaambiwa kuna watu wanafanya utafiti kuhusu mambo mbali mbali, najiuliza hivi kuna maeneo maalum tu ya kufanyia utafiti au ni kila eneo?
Nauliza swali...
Sijajua serikali imejipangaje katika mpango huu. KITABU cha Takwimu za Dunia kinachotolewa kila mwaka na Jarida la The Economist kimetoka mwaka huu na kuna baadhi ya mambo ambayo yanatakiwa...
kuna mazungumzo mengi kuhusu kurejeshwa kwa mafunzo ya JKT na mara nyingi yamekuwa yakipigiwa debe na Television ya Chama Cha Mapinduzi kila uchao.
ukiwasikiliza watetezi wa hoja ya kurejea kwa...
Kunabaadhi ya siku nikilala huwa nashindwa kuhema nahisi kama nahamishwa mahali kwingine je! hii inasababishwa na nini na ntaepukaje hili jambo pia likinitokea huwa nashindwa hata kuinua mkono au...
Nimetoka kuangalia movie based on a true story inaitwa Kill the messenger. Hii muvie inamuelezea jamaa mmoja anaitwa gary webb aliezaliwa mwaka 1955 nakazi yake kubwa ni investigative journalism...
Nashangaa na kusikitishwa, Baada ya kutafiti historia ya vita na uvamizi kupta kutokea duniani kwa zaidi ya miaka 1,700 iliyopita nimegundua kwamba vita vyote vimeanzishwa na mataifa yanayojiita...