Hatimaye nimefikia hitimisho kuwa juhudi za kupambana na ufisadi nchini hazitofanikiwa na ya kuwa upepo wa ushindi unavuma kuelekeza merikebu za mafisadi kuelekea ushindi! Zaidi ya watu kulalamika...
Habari za Asubuhi wanaJF!
Kumekuwepo na umilikaji wa silaha za kivita, ambazo ni hatari na raia yoyote hapaswi kumiliki. Silaha hizo hutumika kwa ujambazi, katika mapori kadhaa yaliyo maeneo ya...
Kibona alikuwa ni Waziri wa fedha, naye Rutihinda alikuwa ni Gavana wa Benki Kuu.
Hawa jamaa wazalendo, walikataa kuprint fedha na kuziingiza kwenye system kwani walijua wakifanya hivyo mfumuko...
Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi.
Tukiweza kuweka list...
Nimeamua kuamka na swali hili baada ya ile habari ya wana ndugu wa marehemu aliyefariki tangu Ijumaa ya wiki hii kukataa kuamini kuwa amekufa na kuamua kumpeleka katika Kanisa la Ufufuo na...
Mifuko ya jamii nchini ambayo inachangiwa na wafanyakazi imegeuzwa kuwa chanzo cha kulipia miradi ya serikali badala ya kuhifadhi jamii yaani wanachama wake. inasikitisha kuona kuwa, wanachama...
Waungwana habari,
Ni hivi majuzi tu bodi mpya ya wakurugenzi wa kampuni muhimu kabisa ya simu Tanzania TTCL ilivunjwa na kuundwa ingine! Lakini kuna jambo lililo jificha ndani yake. Huyu...
Friends,
Following recent events that have been happening all over our country, nimejikuta nawaza sana - like how did we come to this stage? Its a lot to grasp considering 'ours was supposed to...
Kumsoma mwanamke sura
Kujua au kuweza kumsoma mtu kunaweza kukupa dalili nyingi nzuri zakuweza kumfahamu undani wake kimapenzi.
Nywele Changa (HAIRLINE)
Zikiwa zimejikunja zinaashiria kuwa u Mtu...
Hakuna hata mmoja anayependa kupokea lawama mara kwa mara, na mara nyingi inategemea ni jinsi gani unavyomjibu yule anayekulaumu, labda utamwambia maneno ya dharau kejeli, matusi au kujibu...
Kuna taasisi iliyoanzishwa kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa chuo, inaitwa HIGHER LEARNING STUDENT SUPPORTING FUND, hivi inatambulika kisheria na iko chini ya nani? Naofia ya deci na kina...
Leo ikiwa ni miaka zaidi ya kumi tangu litokee tukio lililoiacha dunia kwenye kitendawili kikubwa mpaka sasa cha kutokujua nini jibu lake baada ya majengo mawili World Trade Centers comlex...
Tanzania, Sudan na Libya wako bize kuandaa majeshi yaende Comoro , Lakini mbona hiii mipango kabambe inayofanyika inamaana kuwa ilipitishishwa na nani?na mbona suala hili la kupeleka wanajeshi...
Kama ulidhani Afrika ni kinara wa maliasili na rasilimali basi umekosea. Makala hii toka allafrica.com, japo ni ndefu sana itakupa mwangaza wa kutosha kujua ukweli. Na kwa mtazamo wangu ni kwamba...
Nimechunguza sana na kuona mara nyingi nchi za Afrika hukurupuka na kujiunga na shirika/mikataba/makubaliano yeyote yaitwayo ya Kimataifa bila kwanza kufikiria kwa kina faida na athari zake. Jambo...
Kuporomoka Kwa Maadili, Kushamiri Kwa Ushoga Na Ukahaba
Katika zama zetu za leo kuna janga kubwa linalohatarisha uhai wa jamii ulimwenguni. Mithili ya virusi vinavyoua mwili, janga hili...
mara nyingi kwenye kusoma kwangu sayansi nimekutana na maneno,'assume other terms are constant'. kuna wakati i also assumed so as to proceed with my calculations, "fake calculations". siku moja...
Naomba kama kuna mwenye busara anifahamishe kwetu ni wapi?
Kwa wale waliozaliwa MPANDA miaka ya sabini kurudi nyuma wamezaliwa mkoa wa TABORA wilaya ya MPANDA.
Kwa wale waliozaliwa MPANDA miaka...