Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Si ajabu kuona leo tuna tumia simu janja miaka ya sasa ila ingekuwa miaka 1200 B.c (kabla kristo) kingekuwa kinaelezwa tungemchukulia chizi kwa kuwa uwezi kukubali ujakiona. Matajiri wakubwa kama...
5 Reactions
66 Replies
8K Views
Watu weusi tuna tatizo kubwa la inferiority complex. Tukifuatiwa na waarabu.wazungu wanajijenga au kujengwa na hali ya kujiamini sana. Weusi tumebaki kuanzisha nyuzi na kuandika vitabu mafarao...
48 Reactions
103 Replies
13K Views
Ndio wanausalama ni watu muhimu sana hapa nikimaanisha majeshi yote kwa nchi yetu mfano JWTZ, jeshi la Polisi, Usalama wa Taifa...nk Hawa watu wanahitaji sana maombi yetu na upendo wetu...
8 Reactions
83 Replies
4K Views
Ni matumaini yangu wote ni wazima na mpo salama kabisa, Leo nataka niwafundishe jambo kuhusu jini/shetani huyu ambaye baadhi ya watu wengi wanamtumia katika kujitajirisha na kuweza kuwanufaisha na...
3 Reactions
69 Replies
23K Views
Habari wanajukwaa? Ni imani yangu kuwa mpo salama na buheri wa afya zenu. Kwa wale ambao mna utata kidogo na maisha poleni sana na kwa wale ambao mpo safi tuendeleeni na safari hivyo hivyo bila...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Kile wanachoamini kuwa ziwa kiko katika eneo lenye barafu nyingi la kusini na lina ukubwa wa kilomita 20. Utafiti wa awali ulipata ishara za maji yanayopita katika sakafu ya sayari hiyo, lakini...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu Habari nataka kushare Upendo kidogo Nobody can give you the meaning of your life. It is your life, the meaning has also to be yours. Himalayas won't help. Nobody except you can come upon...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
YES, PHILOSOPHY IS A DISEASE, and not an ordinary one either. It is not a common cold, it is cancer – cancer of the soul. Once a person is lost in the jungle of philosophy he becomes more and more...
3 Reactions
440 Replies
14K Views
Katika historia, wanadamu wamekuwa wakivutiwa na viumbe visivyoonekana. Majini, mashetani na viumbe vingine vingi vya kiajabu vimejaza akili zetu na kuteka mawazo yetu. Uchawi wa kushangaza na wa...
3 Reactions
11 Replies
6K Views
Since the skin color contraption of the religions of ISFET evolved historically from a polarized framework of sectional presuppositions, its implicit ideology became explicit with time as white...
1 Reactions
4 Replies
692 Views
Wednesday, December 28.2022 For people who are confused about why U.S. politicians and the West, in general, are so hell-bent on helping Ukraine beat back Russia’s invasion and are convinced...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Leo tarehe 12/7/2022 ni siku muhimu sana kwa wapenzi wa space exploration. Furaha hii inachangiwa na NASA wakishirikiana na agencies wengine kuweza kutoa rasmi picha na tafiti za kwanza kabisa...
27 Reactions
228 Replies
18K Views
Habari Wana jamii, nimeona mada nyingi zinazo husiana na iman zikileta changamoto na kuto kubalina katika njia zote mbili. Sasa naomba tutoe hoja Kila mmoja hapa kwanini tuseme BIBILIA ni KITABU...
4 Reactions
82 Replies
9K Views
Mfalme Kichaa aliyekuja kuwa na mwisho mbaya Gaius Caesar akifahamika kama Caligula Gaius Caesar aliyepewa jina la Caligula “kiatu kidogo” alizaliwa Augst 31 mwaka 12 Baada ya Kristo yaani B.K...
12 Reactions
41 Replies
6K Views
Kama kawaida nafurahi kuona wengi wetu umeamka salama. Ikiwa sisi tuliumbwa kwa mfano wa Mungu aliye juu sana, Muumba mbingu nanchi,hii ina maanisha kuanzia pua, vichwa, USO na vitu vingi...
5 Reactions
100 Replies
9K Views
Habari za saa wanachama natumai ni njema. Mjadala wa leo kupitia maswali umejikita katika kufahamu,je upi msingi wa hizi dini zilizopo hapa duniani kwa sasa hasa hasa hizi dini kubwa tatu maarufu...
15 Reactions
167 Replies
5K Views
Habari wapendwa, Kwa tafsiri yangu ambayo sio rasmi, uchawi ni jambo ambalo huwezi kulielewa kwa akili ya kawaida lakini binadamu hulifanya jambo hilo na hata mtu anaelifanya huwenda hajui...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Tanzania imeshika nafasi ya pili Afrika Mashariki na ya tisa kati ya nchi kumi bora barani Afrika zenye wanasayansi bora waliotoa mchango mkubwa katika ulimwengu wa sayansi, kwa mujibu wa orodha...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi wana JF, Nimekuwa nikisikia kuwa pesa ya nchi yoyote ile utengenezwa katika nchi ya Uswisi, lakini katika kujua huko nimekuwa nabaki na maswali mbalimbali juu ya hilo. Maswali hayo ni pamoja...
42 Reactions
280 Replies
88K Views
Habari za usiku wakuu wangu wa jukwaa hili pendwa,bila kupoteza muda moja kwa moja niende kwenye mada Katika tafakuri yangu juu ya nature yetu wanadamu,nature ya watu weusi na juhudi za wazungu...
34 Reactions
2K Replies
133K Views
Back
Top Bottom