Haya Mambo yapo Tanzania kuna Wabunge wanataka kusajili Chama Chao ili waendelee na Ubunge walionao.
Wanasahau kuwa Ukitaka kwenda Mbinguni lazima UFE.
Kibonzo Cha masoud cha Leo kirahisi sana.Ni kuhusu kushuka kwa thamani ya pesa na ndio hali halisi 10000 miaka ya juzi ilionekana na pesa kubwa Sana leo hii ukiichenji tu Basi jua huna jipya...
Wakuu,
Sijui Doctor kapitia hatua ngapi kurekebisha tabasamu ila kafanya kazi ya kutukuka.
Je unadhani binti angebaki na meno ya kuzaliwa au ni bora alifanya marekebisho?
Leo Mbunge asiyekuwa na chama ameweka picha ya kijana mmoja akiwa amezungukwa na kucheza na mbwa, lakini picha hiyo hajawekea neno lolote. Sasa wale wataalam wa kufungua code wanaweza saidia...