Huko France kuna punguzo kubwa la flat tv, yaani bei ni euro 2 sawa na 4900 pesa za Kitanzania.Flat tv aina ya Samsung inchi 65.
Hapa Bongo bila ya zaidi ya milioni 3 hupati
Star mkubwa wa filamu duniani kwa sasa yupo kwenye mahaba mazito na kaka yake James Haven . Wawili hao wameyaweka wazi mahusiano yao bila hata aibu [emoji57]
'' Nampenda sana kaka yangu. Wewe ni...
Wakuu afadhali ungeundwa mfumo wa centra sewege system kwenye maeneo mapya. Haya mambo ya watu kufungua chamber za vyoo kipindi hiki cha mvua ni hatari kwa afya ya jamii.
Watoto wanachezea maji...