<TABLE border=0 cellSpacing=0 cellPadding=2><TBODY><TR class=welcome4 vAlign=top><TD> </TD><TD> </TD><TD>...</TD></TR></TBODY></TABLE>
Kuna mtangazaji wa TV fulani yuko hivi , sijui nimtaje?
Mapacha wawili walioungana kiwiliwili, Maria Mwakikuti (kushoto) na Consolata Mwakikuti (kulia) wakipata chakula pamoja wakati wa hafla ya kuwapongeza kwa kufaulu mtihani wa Darasa la Saba...
Nyie achen nyie..binadanu wote wana haki sawa ila wengne wanahaki zaid...huwez ukanifananisha mimi na mfanyabiashara yule au mwanasiasa huyu ambaye yeye ...acha ngoja hata nisiseme...unajua...