MMmmmh inawezekana tunaleta sana picha za huyu first lady mpaka inaboa kuna mengi ya kujiuliza......!!!
hivi ni kweli hawa watu ndio maisha yao au ndio for the seki ofu pics...kuna yeyote anayejua...
Huwezi amini,, jamaa huyu maarufu sana kama kwa jina la Embe,, alionekana asubuhi sana akielekea maeneo kunako uzwa vileo vya kinyumbani/kienyeji. na baada ya kama nusu saa akakutwa kajilalia kama...
hii nimeikuta kwa michuzi nikawa nnajiuliza hapa anawaaasa kuhusu kuanza kwa kampeni kuwa waanze za kistaarabu, au anawaambia jamani msikubali nchi yenu kurudi tena kwenye mifarakano au nn ?
First Lady Michelle Obama (R) waits for her daughter Sasha Obama who had to fix her shoe on August 29, 2010 upon their return to the White House in Washington, DC.