Brother Michuzi,
Naitwa Alex Kasengo, nafanya kazi kwenye mgodi wa dhahabu huku kanda ya Ziwa. Wakati wa mapumziko wiki iliyopita nilienda kutembelea kijiji karibu na mgodi huu.
Baadae...
Nchi Mbali mabali majuu zimepitisha sheria ya wapenzi wa jinsia moja kufunga ndoa, wimbi hili la ndoa za kishoga laweza kuja Africa taratibuu kama kule South, Malawi, Kenya na kwingineko, Eeeh...
:A S-danger:Sabato Masalia
Kutoka kwa Mzee wa Sumo Blog:
Jamaa waumini wa Sabato Masalia bado wanasubiri kwenda ng'ambo kuhubiri neno la Mungu, bila passport wala nauli hii ni...
Huyu ndio Miss Universe wetu 2010 hivi Lundenga huwa hawaoni Ma-miss wa ukweli kama huyu nadhani sasa shindano lake limepoteza mwelekeo na mvuto kwa kutoa Ma-miss wasio katika kiwango!