Wakuu, naomba mnijulishe hizo bendera hapo juu ni za nchi gani?... Pia itakuwa vizuri kama mtanitajia zilitumika miaka ipi na bado zinaendelea kutumia au la!
Kabila la lozi ni miongoni mwa makabila duniani yanayodumisha tamaduni zao na sherehe ya "kuomboka" imekuwa ni kivutio kikubwa na imevutia siyo tu watalii wa ndani na nje nchi pia na makampuni...
Enzi zile hata kama huna akili kabsaaa mkichwa, na hata kama skuli hukanyagi kabisa, lakini ikifika siku ya mashindo au ujio wa mgeni shuleni, Mwalimu Mkuu mwenyewe atakutafuta kila kona, na hapo...