Niliweza kufika eneo la tukio na kupata picha. Ni hali mbaya sana hasa ukiangalia kuwa daladala mabati yamekutana na watu wengi walikuwa wamenasa katika mabati na uvunguni mwa lorry na mabaki ya...
Mwalimu Samwel Nyamsangya, wa Shule ya Msingi Saranga iliyopo Kimara Temboni, jijini Dar es Salaam, akiwafundisha wanafunzi 200 wa darasa la pili jana huku wakiwa wameketi chini kutokana na...