Jamani wana JF,tumeshafuatilia sana issue ambazo zina utata likiwemo tukio zima la ajali ya muheshimiwa mbunge Muzihir,lakini bado hatujapata ukweli wake,sasa kama kuna mdau yeyote ambaye anazo...
Baada ya kuona mkutano wa Wilfred Lwakatare aliokuwa akizungumza na wanachama wa Chadema kata ya Kashai mjini Bukoba nimeamini kwamba Chadema Bukoba mjini bado ni tishio kabisa. Angalia na picha...
Na hapa napo tabu kweli sisi ambao tulizaliwa katika nyumba za udongo, tukaishi kwenye nyumba za udongo..na hata mababuri yetu si shaka ni mwendo huo huo wa udongo,.... hukumu sijui ipoje bana...
Hivi ingekuwaje kama kwenye zile sehemu ambazo kuingia ndani hadi wakukague na kale kadude kao kanakodetect metals wangekuwa wanatumia scanner inayokuonyesha hivi?
SORRY ATTACHMENT IMEONDOLEWA...
TATIZO la kutozingatia usalama kwa waendesha pikipiki nchini linazidi kuongezeka kutokana na ajali za kila mara ambapo katika tukio moja wiki hii, mwendesha pikipiki alinusurika kufa katika...