Huyu hapa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , akiwa na Askari baada ya kumaliza Mkutano wa Hadhara kwenye Jimbo la Kilolo, Mkoani Iringa.
Toa maoni yako.
New York,Marekani.
Picha ya mwanadada Marlyn Monroe iliyopigwa mnada hapo jana imevunja rekodi kwa kununuliwa kwa dola za kimarekani milioni 195($195 Mil) ambazo ni sawa na Shilingi Bilioni 450...