Novemba 19, 2019, Nchi tajiri duniani zilikutana mjini Dar es Salaam na mwenyeji wao Tanzania ambayo wakati huo ilikuwa tajiri pia....sijui imekuaje tena kwa sasa kila siku tunatembeza bakuli la...
Hii hapa ni Kata ya Kipeta , akishirikiana na Daniel Naftari , kijana aliyeporwa ubunge 2020 kwa mtutu wa bunduki
Kinachoogopesha ni umati unaojaa kwenye mikutano yake , yaani huwezi...