Nimenunua Mouse, imeandikwa Made in Chian, sijui kama wamemaanisha China lakini pia sijui kama ni China imetengeneza China kweli au Kariakoo. Ila inapiga kazi.
Kama Kichwa cha Uzi Kinavyosema, Lengo la uzi huu ni kupata picha zinazoonesha uumbaji wa Mungu maeneo mbalimbali ya nje na makazi yetu either barabarani nchikavu au hata majini unayoyaona ukiwa...
Je, mwenye nyumba amshtaki mpangaji kwa kumharibia nyumba yake?
Au
Mpangaji amshtaki mwenye nyumba kwa kujenga ukuta wa mchongo na kusababisha Tv yake kuvunjika?
Toa maoni yako kitaalam zaidi.
Nimejikuta tu nashawishika kwenda Rwanda kuishabikia Yanga itakapocheza na Al Merreikh katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kinachonivutia si mpira wa akina Maxi Nzengeli, hapana. Ni kwenda...
Kwa wale wanaofuatilia Mikutano ya hadhara ya Chadema ya Oparesheni 255, kote inakofanyika, bila shaka wanafuatilia hotuba kabambe za viongozi, ambazo kwa kweli ni hotuba zinazosisimua na...
Huu ni uzi maalumu wa kuonesha picha na video fupi ya miji na maeneo ya nchi mbalimbali zenye maendeleo bora namna zilivyojengeka vizuri.
Iwe U.S.A, Singapore, Germany, Saudia, China, Japan...
Habari wakuu,
Natamani kuufahamu mji wa Kahama kupitia picha. Kama una picha zozote za mji wa Kahama, picha za mitaa, makazi ya watu, viwanja vya michezo, hoteli, shule, hospitali, mito...
Wakuu nisiwachoshe , amani ya Bwana ikawe juu yenu popote mlipo
Bila kinyongo na share picha yangu ya mwaka huu 2023 na kwa vizazi vyangu vijavyo, thanks