Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
5 Reactions
45 Replies
8K Views
Hili ndio vijana wanalifuata pale the BIG BROTHER kwa Mariam Biriani
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Bibi Teresia Andrea Ghuliku mwenye Umri wa miaka Sabini na Tatu (73), mkazi wa Kijiji cha Siuyu, kata ya Siuyu Mkoani Singida kwa Umakini akisikiliza na kuandika kwenye Daftari lake Hotuba Nzima...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Since inception.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unauonaje?
13 Reactions
79 Replies
7K Views
Unajenga reli ya gharama kubwa, ajabu, unacholeta wala hakifanani! Haya, kichwa chenu hicho hapo.
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Unatisha aisee
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu hamjamboni nyote? Naomba kufahamu hiyo gari pichani ni aina gani na inagharimu kiasi gani ukiamua kuinunua kwa fedha za Kitanzania ikiwa mpya kabisa Naomba pia kujua kiwango cha matumizi ya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Je, huyu aliyeshika hii jezi sura yake inatupa ujumbe gani kwa jina lililopo hapo? Sentensi za ujumbe fupi fupi bila hasira!
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kumekua na bidhaa Original toka zamani japo siku hizi zimekua nyingi.Kuna kitu usipokitumia moyo wako hauwi na furaha. Hebu tushee kwa pamoja bidhaa ambayo unaipenda kuitumia sana iwe...
12 Reactions
94 Replies
5K Views
Benjamin Mendy is telling you that.
0 Reactions
5 Replies
954 Views
Haijalishi ni mnyama ila najua utajisikia vibaya mno.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani kibao kimeshajieleza sina mengi kinadada mpoooo? halafu uko ndani unakutana na hii kitu mwana wane
2 Reactions
35 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…