Hebu niambie ukweli jinsi ugumu wa maisha yako unavyolalamika na unayachukia maisha yako jinsi alivyokupangia mungu. Halafu uje ufananishe na huyu mtoto maisha yake jinsi yalivyo. Je muko sawa na...
Godfrey Mwampembwa ni mchoraji wa katuni kutoka nchini Tanzania anayeishi Kenya. Katuni zake nyingi zinahusu habari za siasa lakini amechora pia Hekaya za Abunuwasi. Gado ni mchoraji...
Je umemgundua Nani Kati ya Hawa Kuna viongozi wakubwa, wafanyabiashara wakubwa, wasanii wakubwa wakiwa sehemu tofauti na Dunia yao.
N. B. Atakaewajua wote ninazawadi yake
Ushiriki wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu katika Banda la Wizara kwenye Maonesho ya Saba Saba, tarehe 30 Juni, 2023.
Wasalaam wandugu,
Mwajionaje na Hali?
Nyuzi hii ni kwa ajili ya picha ambazo hazina Caption au text yoyote kuielezea lakini zina ujumbe unachochea, kuvuta, kuelimisha, na Kutafakari.
USISITE...
Wakina Mama wanaofanya kazi TANROADS waungana na Mfanyakazi mwenzao Eng. Glory Ndirimbi katika hafla yake ya Bridal Shower iliyofanyika Coz Cafe tarehe 25 Juni 2023 Dar es Salaam.