Ukikaa kwa utulivu na kuitazama picha hii utapata tafsiri zisizo na idadi zenye hamasa, furaha, uchungu au hasira nk.
Jee wewe ukiambiwa uweke caption hapo utatoa maelezo gani?
Soccer soccer soccer
Mpira ni mojawapo ya mchezo pendwa duniani kote na umetengeneza ajira kwa vijana ,wakivuta pesa ndefu sana.
Picha huongea ukitizama picha unakumbuka kitu au tukio fulani...