Taarifa za chini chini zinasema kuna uwezekano mechi ya Simba Vs Kagera Sugar ikaahirishwa leo kutokana na wachezaji muhimu zaidi 13 wa Simba kupata mafua na homa ghalfa, ingawa timu ilishawasili...
Ni mwaka wa ngapi sasa anaeshinda Balon d or anatokea la liga?
Hata kama mwaka huu Messi katokea PSG lakini alipewa tuzo kwa performance yake ya la liga.
Halafu lewandosky na Van Djik...
Kuamini uchawi ni kubaya Sana game imehairiashwa kisa mlozi kasema simba mkicheza leo mtapigwa na kitu kizito kichwani.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
| Nahodha wa zamani wa Real Madrid na mshambuliaji bora wa zamani wa Madrid Raúl González Blanco 🇪🇸 ni miongoni mwa makocha waliotuma maombi ya kuinoa Azam FC 🇹🇿.
=====
Former Real Madrid...
Tangu ule msukule useme kwamba Usukuleni hakuna mwenye akili, tatizo lilianzia hapo. Hata wale waliokuwa na unafuu wote wakawa chali.Ili akili ziwarudie labda huo mwiko ung'olewew huko nyuma.
Kocha mkuu wa clabu Nabi , amesema baadhi ya wachezaji wa timu hiyo ni wagonjwa. Aidha , Nabi ametoa pole kwa club ya simba kufuatia wachezaji wa timu hiyo kuugua hali iliyopelekea mchezo wao na...
Leo ni leo, Barcelona na miamba ya amerika ya kusini Boca Juniors.
🇪🇦Barcelona - Boca Juniors 🇦🇷
Wanakipiga saa mbili kamili za ucku katika uwanja wa King Saud University stadium, Ar-Riyad...
Simba kama moja ya klabu kubwa Afrika inahitaji kuwa na wachezaji wenye mwendelezo mzuri wa perfomance kiwanjani ili idumu kwenye hadhi na nafasi yake.
Tokea msimu huu 2021/22 umeanza imeonekana...
Mnyama mkali Simba kuvaana na jkt Tanzania kwenye kombe la shirikisho la Azam ASFC, Leo saa 1 kamili usiku.
Kikosi tayari kimewasili uwanjani tayari kutafuta ushindi dhidi ya jkt Tanzania, hope...
Mwamba amelazimika kustaafu bila kupenda kufuatia kupatikana na matatizo ya moyo
Binafsi katika nyakati hizi toka 2008 hadi Sasa naamini dunia imepata namba 9 mahiri wa 11 tu
1.Zlatan Ibrahimovic...
Ukiangalia ligi za timu nyingine hususan Ulaya, kombe la mshindi wa league huwa ni lenye umbo na muonekano ule ule miaka na miaka.
Shida ni sisi hapa. Msimu huu utaona mshindi huu kapewa liko hvi...
Kwa mujibu wa Farhan Kihamu wa clouds, kiungo nyota wa Zambia na klabu ya Rs Berkane Chama amekamikidha kuvunja mkataba wake na sasa ananukia kurudi Simba.
Ndio tuseme Chama amefeli huko Berkane...
Habari Wanajamvi baada ya kupita siku moja toka ile Derby ya kukata na shoka ya watani wa jadi ambayo ilikuwa na kashkash ya hapa na pale na likishuhudiwa tukio la Madame CEO Babra Gonzalenz...
Nchi hii ina Watangazaji na Wachambuzi ( wa Redioni ) wa hovyo hovyo hadi kuna muda unaona 'Kinyaa' tu Kuwasikiliza.
Hivi ni nani hajui kuwa jana Yanga SC ilichokifanya ilipocheza na Ihefu FC kwa...
Siku zote lengo la kuanzisha haya maligi ni kumtafuta mshindi
Ila inanishangaza huu mpira wetu wa kitanzania tokea haya maligi yaanze sijawahi kuona hizi timu ndogo zikishika nafasi ya pili au...
Draw iliyorudiwa UEFA hatua ya mtoano (last 16).
PSG uso kwa uso na Real Madrid
Red Bull Salzburg vs Bayern Munich
Sporting CP vs Manchester City
Benfica vs Ajax
Chelsea vs Lille
Atletico...