Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Katika mchezo wa soka kuna wachezaji wamecheza na kustaafu kwa umri mkubwa kama akina Maldini, Giggs, Drogba nk na wengineo wanastafu umri wa kawaida tu. Ila kuna wachache miongoni mwao wanastaafu...
8 Reactions
47 Replies
4K Views
Hapo kwa Onyango sasa [emoji1]
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kama kichwa cha HabarI kinavyojieleza , kuna haja gani timu yenu kusajili wachezaji 30 , kama Ihefu tu nayo mnaweka kikosi cha kwanza utafikiri mnaenda kupambana na mnyama mkali simba? Au ni woga...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Marefa wakibongo hawana viwango vinavyohitajika na ndio maana hawachaguliwi kwenye mechi za Afcon. Rwanda, Tchad, Djibouti, Burundi, Mauritius, Comoros, Seychelles, na Lesotho zote zikichanganywa...
2 Reactions
4 Replies
706 Views
Simba waliingia uwanjani wakijua watafungwa, kwanini nasema hivi. 1. Wanasema sana na kushangilia kana kwamba wameshinda mechi. 2. Inonga kutamba kumdhiti Mayele,ni dalili ya wazi walikuwa...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Wanadrafi wenzangu ni kwa muda kidogo nazisikia hizi wanasema ooooh kuna kete tatu mpya, hivi zinategwa vipi? Tupeane hizo pattern kama unazijua. Ahsante
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Raundi ya tatu kombe la Azam Sports Federation kuendelea leo. Wananchi Yanga SC wanaanza mbio za kulisaka taji hili kwa kumenyana na lhefu SC. Mechi hi itapigwa katika Dimba la Benjamin .Mkapa...
2 Reactions
173 Replies
11K Views
Kocha Zubery Katwila Wewe ni Mwanangu kabisa tena tokea tukiwa tunacheza pamoja Soka pale Magunia Msasani ( japo baadae ukaniacha na kuendelea Kucheza Soka la Ushindani ) na akina Marehemu Ally...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Timu ya Azam haipati matokeo ikiwa mikononi mwako pia. Inawezekana tatizo ni wewe, wachezaji, au viongozi na au wote kwa pamoja. Lakini unasubiri hadi Azam ushuke nayo daraja ndio uondoke au...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Tff na Wizara ya michezo kwa ujumla pamoja na wahusika wengine wote akiwemo meneja wa uwanja, hili liwafikie! Kiukweli uwanja wa Taifa unatia aibu sana, miundombinu imechakaa, viti vimechakaa...
16 Reactions
44 Replies
4K Views
Kuanzia tarehe 1 January 2021 hadi leo hii tarehe 12 Disemba 2021, Yanga na Simba wamekutana mara 5. Matokeo ni kama ifuatavyo; Yanga; kashinda mechi 3, kafungwa mechi 1, sare mechi 1. Simba...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwasababu tajwa hapo juu na Simba nao wanadeka. Jambo kama hili la mgogoro wa tff na Simba likitokea kwa Yanga uwa kuna press mfululizo za body ya ligi au tff kutoa vitisho na mikwara kwa Yanga...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Baada ya mchakato wa Yanga kuwa kampuni kupitishwa na Serikali, sasa timu itakuwa 51% inamilikiwa na wanachama na 49% inamilikiwa na muwekezaji/wawekezaji. Binafsi ninatarajia kuona yafuatayo; 1...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna watu huku mlikua mnasema Messi hana kitu ni kwamba yupo tu kwenye timu Bora na anazungukwa na wachezaji wazuri mmeona sasa kuondoka kwake kumeifanya Barca kupoteana hadi kushiriki michuano ya...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania. Kama mnavyojua Kariakoo derby inahekaheka mpaka mikoani huko,mechi inachezwa Dar lakini miji mingine ya Tanzania kunakuwa na patashika nguo kuchanika...
2 Reactions
3 Replies
652 Views
Jamani simu yangu kila nikiandika FROG zinatokea imoj za VYURA WA KIJANI sijajua shida ni nini.
0 Reactions
1 Replies
454 Views
Askari mzungu alipomuua bwana Floyd dunia ililipuka na kudai ule ni ubaguzi kwakuwa ulitoka kwa mweupe kwenda kwa mweusi Je tukio la Jana la Tff kumkataza Barbara (mzungu) kuingia uwanjani sio...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Marefa wetu wa hovyo huwezi kuwakuta
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Hivi tumerogwa!, Toka game ya deby uwanja ni mchafu hadi leo ni hali mbaya! mbaya! mbaya! We can't manage even such tiny thing? Usafi kweli? Tukubaliane hii nchi yetu kubadili fikra na utendaji...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Sir Lewis Hamilton….well deserved!
1 Reactions
2 Replies
634 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…